Congress MusicFactory
Pokea Sifa Zetu (Ombi)
POKEA SIFA ZETU (Ombi)

Nakupa shukrani zangu. Asante Yesu. Asante Bwana. Asante Bwana wangu. Asante Muumba wangu
Asante Bwana wangu, Mwokozi wangu, Mungu wangu. Nakuabudu. Nakutukuza. Nakuinua na ninakutukuza
Wewe pekee yako wastahili kupokea sifa zangu, ninakubariki. Wewe pekee wastahili kupokea sifa zangu, Ninakushukuru. Nakushukuru Bwana. Nakushukuru Bwana