Congress MusicFactory
Wewe Pekee
WEWE PEKEE

[Ubeti]
Kwa moyo wangu nakuabudu
Maishani mwangu nakuheshimu
U Bwana wangu, nakupa yote
Natoa sifa zangu kwako pekee

[Ubeti]
Kwa moyo wangu  nakuabudu
Maishani mwangu nakuheshimu
U Bwana wangu, nakupa yote
Natoa sifa zangu kwako pekee

[Pambio]
Kwako pekee, We pekee
Natoa sifa zangu kwako pekee
We pekee, We pekee
Natoa sifa zangu kwako pekee

[Ubeti]
Kwa moyo wangu nakuabudu
Maishani mwangu nakuheshimu
U Bwana wangu, nakupa yote
Natoa sifa zangu kwako pekee

[Pambio]
Kwako pekee, We pekee
Natoa sifa zangu kwako pekee
We pekee, We pekee
Natoa sifa zangu kwako pekee
Natoa sifa zangu kwako pekee
Natoa sifa zangu kwako pekee