Congress MusicFactory
Twakutukuza
TWAKUTUKUZA

[Ubeti]
U Bwana
Mungu Mkuu
Mfalme Mkuu
Ni wewe pekee

[Ubeti]
Mwenye enzi
Mwenye haki
Mtakatifu
Ni wewe pekee

[Pambio Tangulizi ya 1]
Twakui-inua
Wastahili sifa utukufu
Pamoja
Twainuka…..twa….ku

[Pambio ya 1]
Tukuza
Tukuza Bwana
Twa-kuinua
Twakutukuza –

Tukuza
Tukuza Bwana
Twa-kuinua
Tunakupa sifa

[Ubeti]
U Bwana
Mungu Mkuu
Mfalme Mkuu
Ni wewe pekee


Mwenyezi
Mwenye haki
Mtakatifu
Ni wewe pekee

[Pambio Tangulizi ya 2]
U mwaminifu
Unasi Katika safari
Pamoja
Kwa sauti twa ku…..…

[Pambio ya 2]
Tukuza
Tukuza Bwana
Twa-kuinua
Twa ku tu kuza

Tukuza
Tukuza bwana
Twa-kuinua
Milele twa ku

[Pambio ya 3]
Tutukuza
Tukuza Bwana
Twa-kuinua
Twa-kutuza

Tukuza
Tukuza Bwana
Twa-kuinua
Tunakupa sifa

Tunakupa sifa