Congress MusicFactory
Tazama Bwana
TAZAMA BWANA

[Ubeti 1]
(Wanaume)

Tazama Bwana, enzini
Mfalme mkuu ,na Bwana mkuu
Ufalme wake ni wa milele
Uweza wake wadumu milele

(Watu wote)
Atawala, milele
Mtukufu, twakuenzi
Milele  haubadiliki
Aliye, na ndiye ajaye

[Pambio]
Twakutukuza
Wewe wa pekee
Twa-tukuza jina lako kuu
Heshima kwako
Watakatifu
Twatoa kwako sifa zote

[Ubeti wa 2]
Mwana kondoo, Mwana wa Mungu
Mfalme mshindi, Bwana mkuu
Toa sauti, ya hukumu
Wajue Bwana watawala

[Pambio]
Twakutukuza
Wewe wa pekee
Twa-tukuza jina lako kuu
Heshima kwako
Watakatifu
Twatoa kwako sifa zote

[Pambio]
Twakutukuza
Wewe wa pekee
Twa-tukuza jina lako kuu
Heshima kwako
Watakatifu
Twatoa kwako sifa zote