Congress MusicFactory
Mtakatifu Ni Mwana Kondoo
MTAKATIFU NI MWANA KONDOO
[Pambio]
M’takatifu
Ni Mwana Kondoo
Bwa-na, Mwenye enzi
Aliye ndiye
Aliye ndiye
Aliye na ajaye
[Pambio]
M’takatifu
Ni Mwana Kondoo
Bwa-na, Mwenye enzi
Aliye ndiye
Aliye ndiye
Aliye na ajaye
[Ubeti wa 1]
Viumbe vyote vyakutukuza
Mioyo yetu yakubariki
Lugha, kabila mataifa yote
Watakatifu wasifu
[Pambio]
M’takatifu
Ni Mwana Kondoo
Bwa-na, Mwenye enzi
Aliye ndiye
Aliye ndiye
Aliye na ajaye
[Ubeti wa 2]
Twainama mbele zako Bwana
Twakuinua, twakuabudu
Wastahili He-shima zote
Sifa zote ni zako
Zote
[Pambio]
M’takatifu
Ni Mwana Kondoo
Bwa-na, Mwenye enzi
Aliye ndiye
Aliye ndiye
Aliye ndiye
Aliye ndiye
Aliye na ajaye