Verse 1 (Kipsang) :
Moyo wangu inakwenda mbiyo
Tabasamu lako maua
Mwendo wako na maringo inanipeleka ulingoni
Moyo wangu simama
Nimepata kipenzi
Mimi kwako nimefiika (oooh lalala)
Kwa mwingine sitaki (oooh yayaya)
Nikikuona ni kama nakuona... kwa kio, kwa kio
You one in a million
Nachagua wewe tu
I will choose you anytime
CHORUS (x2) :
Usiende mbali na Mimi
Milele mimi na wewe
Usiende mbali na mimi
Ooh yayaya
Verse 2 (Goulam) :
Kila uku wami uhora
Nayi maruha kussi bavouni
I Roho yangou yo ni hodza (eh yeah yeah yeah)
Namo wona mwendro waho mavareni
Dharuba de yikao chitsoini
Nissi hu vendza kiyassi yahu tocha
Matso yaho yo vaga uku uri mwezi (yeah yeah yeah)
Mungu ahuva uzuri na ujuzi
Kweli subira uka na nyongo
Nambiya ka ussi tsaha nifanye ntrongo
Tsoko yontsi pare rike voimoja (voimoja, voimoja)
I Roho ilemewa
Wala ussi darawu mahaba yangou
Yo kayassina mpaka