Osii G
Nairobae
(Intro; Osii G)

Ah Nairobi
Nairobi, Kenya, eii
This one's for you
Hii ni yako
Ayy, uh huh
(B3NZ.ON.1T !)

(Chorus; Bisonga Michelle)

Huku Nairobi, we like to party, ay
Huku Nairobi, twapenda kuwaka
Huku Nairobi, twapenda kuhanya, ay
Huku Nairobi, hepi hepi ni

(Verse 1; Osii G)

Asubuhi asubuhi Ketepa na Big G
Karibu Nairobi , this is where we'll always be
Where the climate is as cool as the ocean breeze
And the sun shines, way beyond its means
Oya Dere, wapi wapi hizo keys ?
Hauskii nina Mito na matrustees
Na watoto, please please please
SportPesa, isidishi school fees
In the night time the city still runs wild
Really wild, so wild, far from mild
If we talk about Vino Privee combined
Give thanks, you really are a good child
Mo'Juice dripping style, mixed with a smile
No I.D kwa M-Pesa once in a while
Kwenye benki, panga line, single file
Don't worry bro, this too will take a while

Ukiwa Tao, weka pesa mfukoni
Wawili ijae, Mat haishoni (Jo !)
Chapo Dondo, ndio chakula tumboni
Mbio za sakafu, huishia ukingoni
Ukiwa Tao, weka pesa mfukoni
Wawili ijae, lakini Mat haishoni
Chapo Dondo, ndio chakula tumboni, (Nyaga)
Mbio za sakafu, huishia ukingoni, eiii

(Chorus; Bisonga Michelle)

(Verse 2; Osii G & Ashu)

Naileta fresh ka Fresh Freddy, mos mos ka E-sir, Mister
Hii ni lyrical tongue twister, na speed ya sprinter
Nakuacha na blister, zima
At the Parking na zimeshika
Ashu akiuliza, "Tutaroll bila filter ?"
Inference to the left, pass it like the class list
Nah sis, its taxi, lemme assist, spark this
Holy Stash, call it Catechist
Afya Centre caught in the bustle
In Nairobi, you can't knock the hustle
Cos' the people been through the struggle
Built muscle, and now, ready to rumble
Like Rambo, skiza mambo
My tenje on shuffle while i'm tweaking on a double, aii
Fumble, eiii, buckle
Lucid dreams of being the next Russel

Lakini uswara, viongozi kulala
100 thao wheelbarrow, wanibeba ufala ?
Lakini uswara, viongozi kulala
Mabongolala, hawafai kutawala, eii
Lakini uswara, viongozi kulala
100 thao wheelbarrow, wanibeba ufala ?
Lakini uswara, viongozi kulala
Mabongolala, hawafai kutawala, eii

(Chorus; Bisonga Michelle)

(Outro; Osii G)

Yeah, uh, Nairobi this one's for you
You, you and you
Mikono juu ya hewa nikaumepewa
Tale mkononi, buda unalemewa
Mikono juu, nikaumepewa
Tale mkononi, buda unalemewa
Mikono juu ya hewa nikaumepewa
Unalemewa

(Outro; Bomu)

Buckle buda, umebuckle mguys