Victor
Kamshange
Chorus
Kamshange Kamshange n***a
Kamshange Kamshange Kamshange n***a
Kamshange Kamshange n***a
Kamshange Kamshange Kamshange n***a ×2

Verse 1 Rooster Klain
Hauwezi nichukia bila sababu
Nishajua why
Maisha yangu yana hesabu
Mininaishi kimahesabu
Nikimic check one and two(one and two)
I'm the one i love myself wenichukie true
Wenifukie tu
Ndani ya futi sita is where I'm heading to
So usicheze nami I'm not a kid toy
Sinamchezo usicheze nami
Sinamchezo misiwa mchezo boy
(Yeaaaah)
I feel the pain I feel the shine
I feel the rain
Hauwezi liona langu chozi
Hauwezi ziota zangu njozi
Nanikiota kama pamba
Kama ndege ninafly
Makazi yangu juu ya kiota
On air naripoti ka reporter
Nikiwa geto nawashkaji tunaplay instrumentals
Wana scream rooster tupe
And the show goes on
Kama Lupe
Fiasco
Nasambaza uhai kama dawascoo
(kama dawascooooooo)

Hook Rooster Klain
Kamshange Kamshange
Kamshange Kamshange Kamshange
Kamshange Kamshange
Kamshange Kamshange Kamshange
Kamshange Kamshange
Kamshange Kamshange Kamshange


Chorus

Verse 2 Rooster Klain
Dunia ya Jah
Ya daa ulimwengu shujaa
Na joto la dar
Nachangamoto
Kichwani na chemshabongo
Flow mbele flavour bongo
Mistari naichora mpaka rangi naipakaa
Tembo akikonda hafanani na pakaaa
Check my shoes Uzi mguuni ulivyokaza
Bonge timber na natimba
Kama Albert
Speed 120 kwenye kona
Navyokaza mwanzo mwisho ka Madonna
Siwakabi koo kama dona
Ila nawakabia kwenye kona
Ukiniona unakula kona
Food of thoughts alert
I'm heavy weight
Gat some roostergrams
Na kilo kadhaaa
Navuta pumzi na vingine kadhaa
(daaaaaah)
Meza ya Bwana ina mkate minakula
I'm cooler than a star
When i take over the planet and the galaxy
You should take the note

Hook....

Chorus...