[Intro]
Iyo,iyo iyo
Iyo,iyo iyo
Sho, Madjozi
[Verse 1]
Kwani unataka Madjozi ade ama nini
Niahiambe aliki
Mbona mwataka nasema napenda lakini
Yeye haniambii
Haweza akashindwa kifungo ata mia mbili
Ela hanipigii, hivi nasema itabidi ongee ana mimi
Kini hanisikii
[Pre-Chorus]
Kusubiri mimi kweli sitaweza
Unanifeeli, keniwezi kunionyesha
Sasa mimi nikihisi unanipenda
Hukuniambia na ndio maana nilienda
[Chorus]
Hukuniambia, huku hukuniambia (Huku)
Niambia, huku hukunambia
Niambia, huku hukunambia (Huku)
Niambia, huku hukunambia
Hukuniambia kwamba wewe unanipenda
Hukuniambia huku huku
Hukuniambia kwamba wewe utaniweza
Hukuniambia huku huku