Rayvanny
NAOGOPA x TALK ABOUT LOVE
VERSE 1
||: Mapenzi chenga
Yakikupiga unasurrender
Na wengi wakipendwa
Wanasahau kuna kutendwa:||
Wapi mkandarasi wa moyo
Wa ukuta wa mapenzi unadondoka
Kinacho ponza wengi ni moyo
Wakikalia kuti kavu wanadondoka
Unaweza sema pesa ndiyo breki ila mapenzi hayasomeki
Umemteka kwa mali na cheki
Kumbe vyombo anakula muuza magazeti
Unajisifu umempata, kumbe alomuacha anamfuata
Anachotaka anakipata, wanasema wala ana talaka
CHORUS
||: Naogopa [Naogopa] x2 Naogopa
Kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikie
Naogopa [Naogopa] x2 Naogopa
Tena tochi ya mapenzi isinimulike :||
VERSE 2
Beautiful darling, baby love…
I like it what you’ve done to me, now I know…
||: Talk about love, talk about us;
The Joy - and the Lord is my defense;
[Gadol Elohai yeah x2] :||
Beautiful darling, baby love…
I like it what you’ve done to me, now I know…
CHORUS
||: Naogopa [Naogopa] x2 Naogopa
Kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikie
Naogopa [Naogopa] x2 Naogopa
Tena tochi ya mapenzi isinimulike :||
Beautiful darling, baby love…
I like it what you’ve done to me, now I know…
[OUTRO]