Rayvanny
Chuchumaa Remix
Vanny Boy
(Gachi B)

Chuchumaa kama vile unafua
Mama unapika basi nije kupakua
Chuchumaa kwenye choo cha mabua
Ila chunga mchanga usiingie kitumbua

Chuchumaa! Kisha ulegeze nyonga hiyo
Chuchumaa! Unitoneshe kidonda hiyo
Chuchumaa! Ona nyoka anaconda hiyo
Chuchumaa! Ufanye mlima ufanye mlima Kitonga hiyo

Ai katoto, motomoto
Moto moto, moto moto
Aii baikoko, moto moto
Joto joto, moto moto

Kamata ukuta!
Shuka mpaka chini take it down zungusha
Kamata nakupa
Nikishika nyundo nipasue kichupa

Oweoo weooo
Kina dada mko wapi?
Oweoo weooo
Basi muingie kati
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!

Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!

[Frenna]
-----
-----

Ai katoto, motomoto
Moto moto, moto moto
Aii baikoko, moto moto
Joto joto, moto moto

Ebony more energy
Call my guy bop on enemies
Frenemies unfollow me
You -- emotions

Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!

Kimbau mbau, tukunyema
Pilau lau, nipe supu tena
Mashau shau hapana sinema
Yaani kanakula ndizi bila kumenya

Basi nipe za ki China eeh, msamba
Fanya kama Bruce Lee, msamba
Viuno vya kusigina eeh, msamba
Fanya kama Jet Li

Unavyocheza kwenye chaki, nataka hakataki
Na chumbani varangati kwaito
Na pembeni katikati, nakatachi bila wasi
Kamedata na Wasafi title

Ai katoto, moto moto
Moto moto, moto moto
Aii baikoko, moto moto
Joto joto, moto moto

Kamata ukuta
Shuka mpaka chini take it down zungusha
Kamata nakupa
Nikishika nyundo nipasue kichupa
Oweoo weooo
Kina dada mko wapi?
Oweoo weooo
Basi muingie kati

Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!

Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!

Tingishika, tingisha
Tingishika, tingisha
Tingishika, tingisha
Tingishika, tingisha