Rayvanny
Twerk
She she she got the body right
She got the body clear

(Chui, V Money on the track)
One time for dey who my brother
Zombie Boy, Vanny Boy



(It’s S2kizzy beiby)

She she she got the body right
She got the body clear
Tena tena tight nyuma ni mkia
Masalo kidebe yanavunja sinia
Chuchu nazo dede zinaning’inia

Ana jicho la kinoko noko
Aah kinoko noko
Fundi wa kucheza baikoko koko
Aah baikoko koko



Kimwili kimwili amelainika
Bingiri bingiri amegawanyika
Timbwili timbwili anakinukisha
Bingiri bingiri anavyokatika
Twerk it! twerk it!
Twerk it! twerk it!
Twerk it! twerk it!
Shake your body bam bam, tueke tueke

Twеrk it! twerk it!
Twerk it! twerk it!
Twеrk it! twerk it!
Shake your body bam bam, tueke tueke

A lot on my mind, most – them tonight
Body so fine, chocolate design..
When am swaying with the one
You looking my way boy what you want

Nakukatia katia, susia susia
Mikuno kiuno wanipatia patia
Nakudandia dandia bamia bamia
Ukichoka nipe kiti nitakalia kalia

Am calling my daddy daddy
Daddy daddy
This time for my dzaddy dzaddy
Dzaddy dzaddy

Twerk it! twerk it! Kama namaanisha
Twerk it! twerk it! Kama baba rita
Twerk it! twerk it! Basi pima litre
Twerk it! twerk it! Kama magarita
Twerk it! twerk it!
Twerk it! twerk it!
Twerk it! twerk it!
Shake your body bam bam, tueke tueke

Twerk it! twerk it!
Twerk it! twerk it!
Twerk it! twerk it!
Shake your body bam bam, tueke tueke

Ati ukilewa pombe unachezaje? (Kata)
Ukiwa na pesa unachezaje? (Kata)
Ukiwa na danga unachezaje? (Kata)
Ukimuona ex unachezaje? (Kata)

Ukifunga ki unachezaje? (Kata)
Dada ukiwa single unakataje? (Kata)
Aii kata (Kata)
Ukimuona ex unachezaje? (Kata)

(Wasafi)