Rayvanny
Kiuno
Baby baby ayi ayi ayi
Michepuko ya zamani bye bye bye
Mi najidai dai dai, oh we subiri shera dai dai dai
Zungusha pepeta ungo, nipe mambo yakizania mafumbo
Geuka onyesha umbo, jiachie wala usibane tumbo
You're forever be my always aya yeh
Cake of my birthday aya ye
Director of my always, baby you turn Thursday to be holiday
We ndio kiboko wa chunusi na harara, we zaidi yao (hao)
Sura yako hata ukitoka kulala bado zaidi yao
Basi kata taratibu (kiuno)
Kiuno cha pakashungu (kiuno)
Pangaboy feni bovu (kiuno)
We pinda mpaka mugongo (kiuno)
Nipe uno la uzazi (kiuno)
Mpaka chini kwa udongo (kiuno)
Basi kati- katika (kiuno)
Kama unatokea kongo (kiuno)
Kanitesa Suzy eh, kanitesa Monica
Kanitesa Shuvele, kanitesa Wini eh
Ila si wewe wewe wewe mama mama
Mhh shivonipele
Yawawili mapenzi oh, watatu siwezi oh
Usisikie maneno maneno maporojo watakuumiza roho roho oh
Yawawili mapenzi oh, watatu siwezi oh
Usisikie maneno maneno maporojo watakuumiza roho roho oh
Maliza eh maliza eh, mama nipe yote
Taamu nipe yote yote
Maliza eh maliza eh maliza eh ah
You're forever be my always aya yeh
Cake of my birthday aya ye
Director of my always, baby you turn Thursday to be holiday
We ndio kiboko wa chunusi na harara, we zaidi yao (hao)
Sura yako hata ukitoka kulala bado zaidi yao
Basi kata taratibu (kiuno)
Kiuno cha pakashungu (kiuno)
Pangaboy feni bovu (kiuno)
We pinda mpaka mugongo (kiuno)
Nipe uno la uzazi (kiuno)
Mpaka chini kwa udongo (kiuno)
Basi kati- katika (kiuno)
Kama unatokea kongo (kiuno)
Tupate moja moto moja baridi (cheza cheza bila kutoka jasho)
Nyama choma supu ya digi digi (cheza cheza bila kutoka jasho)
Kibosi bosi kipedeshee (cheza cheza bila kutoka jasho)
Tumia pesa ikuzoee (cheza cheza bila kutoka jasho)