Rayvanny
Utaonaje
Chui, aaah ye
Chupa limeamka na chai au sio
S2kizzy baby
Vany bwoy
Asa kwanini nikublock (utaonaje)
Ninavyovimba (utaonaje)
Yani kwanini nikublock (utaonaje)
Ninavyoringa (utaonaje)
Nasema kwanini nikublock (utaonaje)
Ninavyovimba (utaonaje)
Asa kwanini nikublock (utaonaje)
Ninavyoringa (utaonaje)
Utaonaje utaonaje utaona
Utaonaje utaona
Utaonaje
Ninavyovimba utaonaje utaona
Niko kwa flight nasubiri ku departure
Nikikublock utaonaje sasa
Maisha pombe na muziki ka darasa
Nikitoka dubai natua mombasa
X wangu amuone demu wangu wa sasa
Jinsi alivyotakata
Vile tulivyojipata
Si atajifia na kifafa
Nikublock nikiblock kitu gani
Unataka kuroga nenda karoge pangani
Nikublock nikiblock kitu gani
Maneno ya mkosaji eti malipo duniani
Kwanza me mwenyewe brand
Ninapotamba watoto hawatambi
Wanaonichukia nawazidi hadi dhambi
Baba familia halafu mama nandy
Wambie kanibless mungu jah
Nabahati sina gundu njaa
Upepo mwanana Zanzibar
Halafu anaenitukana yuko mwinde bar
Watch Video
Asa kwanini nikublock (utaonaje)
Ninavyovimba (utaonaje)
Yani kwanini nikublock (utaonaje)
Ninavyoringa (utaonaje)
Nasema kwanini nikublock (utaonajе)
Ninavyovimba (utaonaje)
Asa kwanini nikublock (utaonaje)
Ninavyoringa (utaonaje)
Utaonajе utaonaje utaona
Utaonaje utaona
Utaonaje
Ninavyovimba utaonaje utaona
Yeah
Najua una bando kama huna sema nikutumie
Nataka ni post majigambo ili wachawi wote ndo muumie
Wanaomba nifeli nataka salamu ziwafikie
Aaah nikovizuri kweli kweli he he acha dawa tu iwaingie
Ooh yaya
Nazidi kung’ara ukiniombea mikosi
Ufukara sina sa niko kibosi
Bata kila siku sio mpaka jumamosi
Najua hujala ila napost misosi
Oya wachawi nishanunua gari nishanunua nyumba hapo vipi
Hapo vipi
Mnaoniroga pemba me huku nishajenga
Hapo vipi, hapo vipi
Wambie kanibless mungu jah
Nabahati sina gundu njaa
Upepo mwanana Zanzibar
Halafu anaenitukana yuko mwinde bar
Asa kwanini nikublock (utaonaje)
Ninavyovimba (utaonaje)
Yani kwanini nikublock (utaonaje)
Ninavyoringa (utaonaje)
Nasema kwanini nikublock (utaonaje)
Ninavyovimba (utaonaje)
Asa kwanini nikublock (utaonaje)
Ninavyoringa (utaonaje)
Utaonaje utaonaje utaona
Utaonaje utaona
Utaonaje
Ninavyovimba utaonaje utaona