Harmonize
Never Give Up
Intro:
Aii ooh no Ooh...
Lord have mercy
Iyee iyee eeh eeh Konde boy

Verse 1:
Let me tell you my story Nimezaliwa Mtwara Tanzania
Huko kijijini Chitoholi Hapa mjini nimezamia
Ndoto zilikuwa kucheza boli; Mara ghafla kwa muziki zikahamia
My daddy am sorry Swala tano hukupenda uliposikia
Kama utani si nikaanza kuimba
Mungu si Athumani,nikakutana na Simba; Akanipiga company
Japo kuna walo pinga
Kwamba sina kipaji

'Ninakupenda malaika' 'Malaika' '...umeuharibu sana huo wimbo' 'Ulikuwa unafanya mazoezi nnje hapo eeh' 'Ndio' 'Nilikusikia, nilishakupa NO tangia mwanzoni' 'NO, make me sing'

Fitina za ndani ndani mara 'Harmo' anavimba
Atapendwa na nani? Mmakonde wa Tandahimba
Nikajipa imani ipo siku nitashinda Maana Mola ndo mpaji Eeeh

Hook:
Now I make my paper(my paper)
And I bless my family; Pole walonicheka (nicheka)
Enzi navaanga kanda mbili So...
Chorus:
Never, Never, Never Never, Never, Never, Give up!
Never, Never, Never Usikate tamaa maana Mungu anakuona
Never, Never, Never Never, Never, Never, Give up!
Never, Never, Never Usikate tamaa, hangaika kila kona (Konde! Konde! Konde!)

Verse 2:
I remember Mama told me my boy Binadamu hawana wema Watakuchekeaga usoni Ukiwapa kisogo wanakusema
Usihifadhi chuki moyoni Yalipe mabaya kwa mema
Jifanye hukumbuki huyaoni ndo maandiko yanavyosema Nilimtanguliza Mungu kwa Swala
Mara ghafla kaja mzungu Sarah Ah
Thank you my beiby You love me, you support me I love you too Shout out to my n***a Jose wa Mipango Jabulanti, Choppa, I got love for you
Mnyama Mkali, Budda na Mcha chambo Waambie tunapita so mikono juu
Najua maisha safari, mimi bado sijafikaga
Long way to go
Ila naiona afadhali, kulala uhakika Na kula sio ka before
Debe kwa Azizi Ali, Mbagala, Tandika Kimara na Kariakoo
Ghetto na kibatari
Kiangazi masika Ikaja mvua vyote vyako

Hook:
Now I make my paper(my paper)
And I bless my family Pole walonicheka(nicheka)
Enzi navaanga kanda mbili So...

Chorus:
Never, Never, Never Never, Never, Never, Give up!
Never, Never, Never Usikate tamaa maana Mungu anakuona
Never, Never, Never Never, Never, Never, Give up!
Never, Never, Never Usikate tamaa, hangaika kila kona (Cheering) Oh My God, its Spencer (Cheering)