Intro
Eeeh
Wasafii
Eeeh
Eeeh Iyoo Lizer
Wasafi Records
Verse 1
Ali sinaga shobo
Wanapenda kunishobokea
Tena sinaga nyodo
Ukinipa mimi napokea
Zikikuteka kogo
Chukua namba tutaongea
Nitageuka mbogo
Ukichacha nakupotezea
Bridge
Mwanamke anahitaji noti eeh
Kama huna jua itakucost eeh
Hata uwe kibabu siogopi eeh
Luninga hainitishi remote eeh
Anhaaa aah
Chorus
Ntakufilisi eeh
Ntakufilisi eeh
Ntakufilisi eeh
Ntakufilisi eeh
Aaahaaah huh Unikonyeze
Aaahaaah huh Usijisogeze
Aaahaaah huh Unikonyeze
Aaahaaah
Verse 2
Usijifanye kunizimia
Ukipita njia unikonyeze
Mapesa nitakuchukulia
Utaninunia Usijisogeze
Utaiacha familia kuihudumia
Nikupoteze
Unipe nyumba gari pia
Sio mbili beer
Eti unimeze eeh
Bridge
Mwanamke anahitaji noti eeh
Kama huna jua itakucost eeh
Hata uwe kibabu siogopi eeh
Luninga hainitishi remote eeh
Anhaa aah
Chorus
Ntakufilisi eeh
Ntakufilisi eeh
Ntakufilisi eeh
Ntakufilisi eeh
Aaahaaah huh Unikonyeze
Aaahaaah huh Usijisogeze
Aaahaaah huh Unikonyeze
Aaaah
Outro
Unikonyeze
Usijisogeze
Anhaaa aah
Chorus
Ntakufilisi eeh
Ntakufilisi eeh
Ntakufilisi eeh
Ntakufilisi eeh
Aaahaaah aah Unikonyeze
Aaahaaah aah Usijisogeze
Aaahaaah aah
Anhaaa aah