[Intro]
Maaaaaaaa aaaah ah!
Uh Ohohohohoh
Oh Ohohoh! (Wasafiii)
Hhhmm
Maaaaaaaa aaaah ah!
Iyoo Lizer
Uh Ohohohohoh
Oh Ohohoh!
[Verse 1]
Asalala Mungu kaninyima upole
Hali yangu majalala
Mwali nliekosa mkole
Terminal Mbagala
Ofisi ajira ndole
Nawakalisha mafala
Wajinga wakuja Bongo
Wageni wa Dar es Salaam
[Bridge]
Vipi nitakidhi mahitaji yako
Yangu yananishinda
Hali mbaya sina godoro
Na vipi kuhusu wazazi wako
Kielimu mimi mjinga
Japo mapenzi haya
Hayanaga kasoro
Kama una kumbukumbu
Hata baba yako nlishawahi kumkaba
Alilia kwa uchungu na mama yako
Nlipompola zaga
[Chorus]
Je! Watakubali?
Hivi unadhani (Watakubali?)
Wazazi wako (Watakubali?)
Me nawe hatulingani (Watakubali?)
Hadhi yangu na yako (Watakubali?)
Hivi unadhani (Watakubali?)
Waaaa aaah...! (Watakubali?)
Shida mama shida (Watakubali?)
Aaaaah ah!
[Verse 2]
Najua watamani tuoane
Miguu yangu kutwa iko busy eeh!
Sitaki ubaki mjane
Kula kwangu hadi nikimbizwe eeh!
Niendapo barabarani
Usinisubiri nikikwambia ngoja
Maana si kazi ila vitani
Kufa ni tendo la mara moja
Muda mwingine shati begani
Pekupeku utadhani nimerogwa
Mguu nje mguu ndani
Defender inakubeba kama mzoga
Raha ya mapenzi ushemeji kucheka
Dada na majirani
Na nishafanya kote manjegeka
Hawanipendi mtaani
[Bridge]
Vipi nitakidhi mahitaji yako
Yangu yananishinda
Hali mbaya sina godoro
Na vipi kuhusu wazazi wako
Kielimu mimi mjinga
Japo mapenzi haya
Hayanaga kasoro
Kama una kumbukumbu
Hata baba yako nlishawahi kumkaba
Alilia kwa uchungu na mama yako
Nlipompola zaga
[Chorus]
Je! Watakubali?
Hivi unadhani (Watakubali?)
Wazazi wako (Watakubali?)
Me nawe hatulingani (Watakubali?)
Hadhi yangu na yako (Watakubali?)
Hivi unadhani (Watakubali?)
Waaaa aaah...! (Watakubali?)
Shida mama shida (Watakubali?)
Aaaaah ah!
[Outro]
Nkuonge kisimu cha camera (Naanzaje!)
Na kila rusha roho madera (Naanzaje!)
Eeeeh!
Saloon uwende kila week (Naanzaje!)
Weekend twende kwa miziki (Naanzaje!)
Naaaaanzaje?