Mbosso
Tamba
Verse 1:
Pasha maji weka moto' tandika jamvi naja nyumbani
Nimekuletea zawadi, kijora cha mkopo' futa la nazi ujipare, honey
Na vijisabuni vya magadi'
Nguru usimtoe chumvi ndio ladha yake
Muunge tu' nipe na chuzi na nyama yake
Eh'
Kula ya mbuzi ni kamba yake (Oh oo...)
Ye king'amuzi mi dishi lake

Hook:
Fungeni maturubahi (Mkeshe mkisema!)
Wala hamtupi shida (Mkeshe mkisema!)
Ndo kwanza tunajidai (Mkeshe mkisema!)
Kama afisa wa NIDA
Ooh..ohho...

Hook:
Tena' Daktari nimekuja na tiba sindano (Leta nchomeke!)
Chunga kibinda mwali napita kwenye mabano (Leta nchomeke!)
Nipo ngagari tayari kwa mapambano (Leta nchomeke!)
Chai yaanguka Asas leo mambo msuguano (Leta nchomeke!)

Chorus:
Tamba...
Tamba...
Nakupa uwanja tamba
Tamba...
Tamba...
Warushe warushike roho zao
Tamba...
Tamba...
Wasokujua wakujue leo
Tamba...
Tamba...
Tamba mama lao...
Verse 2:
Nitalinda benki kwa rungu' niaminie
Taka langu Mwana mvungu' nainama mie
Wavunje nazi na nyungu' wajifushie
Oh my wangu atulinde atulinde Mungu' yasitufikie
Nilishakumbwa na tsunami' la mapenzi nikalia, na amani kwako sasa
Penzi si la unyang'anyi' peke yangu najilia na shiba na kusaza
Naka T.V kangu kana waka kuzima' Nikupe
Naka simu kangu japo cha mchina' Nikupe
Shika na moyo wangu nenda nao mazima' Nikupe
Tuzaliwe Makkah tufie Madinah' Nikupe

Hook:
Fungeni maturubahi (Mkeshe mkisema!)
Wala hamtupi shida (Mkeshe mkisema!)
Ndo kwanza tunajidai (Mkeshe mkisema!)
Kama afisa wa NIDA
Ooh...ohho...

Hook:
Tena' Daktari nimekuja na tiba sindano (Leta nchomeke!)
Chunga kibinda mwali napita kwenye mabano (Leta nchomeke!)
Nipo ngagari tayari kwa mapambano (Leta nchomeke!)
Chai yaanguka Asas leo mambo msuguano (Leta nchomeke!)

Chorus:
Tamba...
Tamba...
Nakupa uwanja tamba
Tamba...
Tamba...
Warushe warushike roho zao
Tamba...
Tamba...
Wasokujua wakujue leo
Tamba...
Tamba...
Tamba mama lao...
[Instrumentals]

Wasafi...

Hook:
Nishalinoa panga' porini kukata mua
Mwana kaza kitanda' usiku kuneng'emua
Nishalinoa panga' porini kukata mua
Mwana kaza kitanda' usiku kuneng'emua
Uu yeah yeah...
Uu yeah yeah yeah...
Nishalinoa panga' porini kukata mua
*Mwana kaza kitanda' usiku kuneng'emua
Nishalinoa panga' porini kukata mua*
Aiyo aiyo aiyo yo aiyo...
La la la, la la la, la la la...
La la la, la la la, la la la...
Aiyo, Laizer

[Instrumentals]