Willy Paul
Tiga Wana
[Intro: Willy Paul and Size 8]
Willy , Willy , Willy Willy Willy Willy
Willy, Willy Willy, Willy
Msaafiii...
Willy Pozee ako wapi? Ako apo
Namba Nane ako wapi? Niko apa
Willy Pozee ako wapi? Si tuko apaa

(Teddy B)

[Chorus: Willy Paul]
Nikicheza ngoma iwe ngoma noma
Nikisoma neno iwe neno noma
Nikipiga wera iwe wera noma
Devo akileta shida
T.W.

Tiga wana we (noma)
Tiga wana we (noma)
Tiga wana we (noma)

[Verse 1: Willy Paul]
Mili-mili-mili-milima na mabonde nimepitia re
Nikisukuma neno la bwana re
Nazo chuki re, nazo chuki re, nazo chuki re (Ee-eeh)