[Intro]
(Rooster crows)
Mtoto, mtoto mdogo (Sol Generation, yeah)
Mtoto, mtoto mdogo
Amevaa ngolopa, vaa ngolopa
Amevaa ngolopa (Original ting, ah
Hear dis)
[Chorus]
Lucy, I love you
Lakini kama tuko wengi
Tusilazimishe, tusilazimishe penzi
Lucy, I love you
Lakini kama tuko wengi
Don't force it, don't force it
[Verse 1]
Yo
Lucy, hizo ni nini ninasikia?
Ati kuna ma-boy wanajaribu kukukatia
Na pia, kuna vile unawavutia
Ulikuja na mimi, wanataka kunigeuzia
Lucy, is there another man inna your life?
Calm, calm dem, me, stop wasting my time
Ukitaka penzi, ni lazima u-decide
Ukitaka kwangu, ni lazima uwe mine
Lucy, kalongo-longo yako ya uongo
Unacheki wengi ama tukuite chongo
Msichana mrembo, unanichanganya ubongo
Eh, shuga!
[Chorus]
Lucy, I love you
Lakini kama tuko wengi
Tusilazimishe, tusilazimishe penzi
Lucy, I love you
Lakini kama tuko wengi
Don't force it, don't force it
[Verse 2]
Niko na mipango (Eh!)
Kama una zako, we ziweke kando (Mm!)
Juu kila kitu, nime-order double
Nikipewa yangu, unapewa yako
Okay, wewe ndo mpango (Uh!)
Mashida zako zote, weka kando, eh
Usijali baby, mi nitaku-handle
Mimi kijana noma toka Eastlando
Okay, usininyime samosa
Ukitaka sose, nitakupa mpaka saucer
Kwani kukupenda, mi najua si makosa
Na nikikupenda, mi najua sijakosa
Baby love, usininyime samosa
(Ukitaka sose, nitakupa mpaka saucer
Kwani kukupenda, mi najua si makosa
Na nikikupenda, mi najua sija- uh-huh!)
[Chorus]
Lucy, I love you
Lakini kama tuko wengi
Tusilazimishe, tusilazimishe penzi
Lucy, I love you
Lakini kama tuko wengi
Don't force it, don't force it
[Bridge]
Ati mtoto, mtoto mdogo
Mtoto, mtoto mdogo
Amevaa ngolopa, mangolopa
Amevaa ngolopa, mangolopa
Mtoto, mtoto mdogo
Mtoto, mtoto mdogo
Amevaa ngolopa, mangolopa
Amevaa ngolopa (Aha!)
Lucy, I love you
And I need your love
But don't force it
Yeah!
(I love you…
Lucy, I love you
Lakini kama…
Don't force it, don't force it)
[Outro]
Mtoto, mtoto mdogo
Mtoto, mtoto mdogo
Amevaa ngolopa, mangolopa
Amevaa ngolopa, mangolopa