[Intro: Nviiri the Storyteller]
(Ohh, mmh)
Ohh
What a waste
Oh, Lord
The Storyteller, ayy
[Verse 1: Nviiri the Storyteller]
What a waste
Baby tumejiseti, we on the highway
Tukafunga breki, tukaanza bishana
Asking, "Who is Diana? Vipi mnajuana?"
I swear tumeji-betray, baby tumejiseti
'Cause love isn't here right now
I guess we'll never know (Never know)
Mahali hii story ingeenda
[Pre-Chorus: Nviiri the Storyteller]
(Tulichoanza) Kuja tumalize
(Kinachokwaza) Baby, ziandike
(Punguza drama) Baby, zitushike
(Washa kishada)
[Chorus: Bien-Aimé Baraza]
I don't wanna argue, ka uko sawa, mi niko sawa
Ka uko sawa, niko sawa
Aki zile vitu tulipanga
Ukanishukisha namba
Najua una-miss hii kitanda
Vile visa na visanga
Aki zile vitu tulifanya
Kabla ubadilishe namba
[Verse 2: Bien-Aimé Baraza]
Bado we husemanga mi ni psycho
Bado mi hupiganga simu yako
Nili-delete-ingi namba yako
Lakini naikumbukanga kwa moyo, yo
And I just can't explain
Thoughts of you and me keep going up and down in my brain
And you were looking for somе love, didn't care for the famе
I was looking for a good time, playing the game, yeah, ah
And now you stuck on my lane
Moving in together, baby, it was never the same
Oh, it's such a shame, kila saa tunagombana
Lini tutaelewana? Yeah
[Pre-Chorus: Nviiri the Storyteller]
(Tulichoanza) Kuja tumalize
(Kinachokwaza) Baby, ziandike
(Punguza drama) Baby, zitushike
(Washa kishada)
[Chorus: Bien-Aimé Baraza]
I don't wanna argue, ka uko sawa, mi niko sawa
Ka uko sawa, niko sawa
Aki zile vitu tulipanga
Ukanishukisha namba
Najua una-miss hii kitanda
Vile visa na visanga
Aki zile vitu tulifanya
Kabla ubadilishe namba
[Outro: Bien-Aimé Baraza]
I don't wanna argue, ka uko sawa, mi niko sawa
Ka uko sawa, niko sawa
Aki zile vitu tulipanga
Ukanishukisha namba
Najua una-miss hii kitanda
Vile visa na visanga
Aki zile vitu tulifanya
Kabla ubadilishe namba