[Maua Sama]
Hey... Hey .. ooooh...
Oh Baby niruhusu tufanane
Huku nikiamini one day utanioa
Baby nikikuona nabanwa na haja
Baby nakuwanga kitoto ng'aa ng’aa
Tell me, nikipi chakupa mawazo
Oh baby wakati nakutunuku Mia Mia
[Bridge: Maua Sama]
Kwa kichomi nikande
Kwa Moto baridi zigande
Kama ruba nigande tuwe wote
Ah come baby come bae
Msumari kwa nyundo nigongee
Oh Monday to Sunday I love you...
[Chorus: Maua x Hanstone]
Basi iokote
Sio kwa bedi, kwa kochi, kitanda naichumia
Iokote
Nikiona kwa juu chini naizamia
Iokote
Sungura Nipe karoti maharage sijazoea
Iokote
Nakunja goti napandisha Mori nachechemea
Oh yeah baby baby....
[Hanstone:]
Ukitoka kuoga nitengee ya Moto Moto
Tingamo ka kitengee tutoke mtoko
Ahh boda kwa boda tutembee chocho kwa chocho
Tena nikichoka nibebee mie kwako mtoto
Rafudhi ya Pemba rangi rangi ahee
Nywele ya kihindi chambi chambi naree
Cheza rafu Kona Bambi mpoko mpokovu
[Maua Sama:]
Refa katupa penalti aah aaheeeh
Mpira ushawekwa kati aah aaheeh
Nahitaji magoli kwa chenga zako
Piga shuti nikudakie
[Bridge: Hanstone]
Kwa kichomi nikande
Kwa Moto baridi zigande
Kama ruba nkugande tuwe wote
Oh come baby come bae
Msumari kwa nyundo nkugongee
Oh Monday to Sunday I love you ..
[Chorus: Maua x Hanstone]
Basi iokote
Sio kwa bedi, kwa kochi, kitanda naichumia
Iokote
Nikiona kwa juu chini naizamia
Iokote
Sungura Nipe karoti maharage sijazoea
Iokote
Nakunja goti napandisha Mori nachechemea
Oh yeah baby baby...