[Intro: Chris Kaiga]
Ayy!
Maze, mastingo ni mengi
Naeza kukuonyesha hii mchanganyikiwe
Sawa
[Chorus 1: Chris Kaiga]
Ukiwa na form, nidungie, brathe, let me know (Unaeza holla)
Location tumia teke teke, mi nakwom (Halafu form?)
Kuwabeba na mastingo, na mastingo
That's my stingo, that's my stingo, that's my stingo
Ukiwa na form, nidungie, brathe, let me know
Location tumia teke teke, mi nakwom (Ati halafu?)
Kuwabeba na mastingo, na mastingo (Kuwabeba na mastingo)
That's my stingo, that's my stingo, that's my stingo
[Verse 1: Chris Kaiga]
Beat ni classic kama odijo (Sawa)
Mali swafi, kitu official (Wah)
Hii ni kali kama OG Jones
Kaa huipendi, itabidi umemeza Tropical (Mwah)
Mastingo, napiga moonwalk nikiodi, jo
After all, si hupiga party, after party, stop
Akiwa front kama Hardis, mwambie abaki top
Piga shot, pia kimganzi hadi u-Johnny walk
Top it off na kimaji ndio usibleki, bro
Kaa ki-logo ya Konyagi, bado tuko strong
Tuko on kaa kimwaki, hawezi turn it off
CEO, Nairobi city, chief wa mastingo