[Verse 1]
Hujaacha tobo
Uliloniachia ni bonge la tundu
Sina nyendo
Mama kaninunia
Nahisi gundu
Nakunywa gongo
Najisaidia nguoni aibu
Uuh mwalongo
Kitanda changu ndio chooni
Wewe ndio sababu uuh
[Bridge]
Butuu mobimba nazolela
Naumia sana Nimekuzoea
Butuu mobimba nazolela (mama aah)
Naumia sana Nimekuzoea
Hhhmm Ndoto za ajabu
Kichwani unakuja wewe
Sura yako
Nishasomewa vitabu
Bado vinasema wewe
Nikifa maiti yako (Yeee eeeh eh)
[Chorus]
Ayayaya Ayaya
Na machozi hayataki kauka
Ayayaya Ayaya
Nafuta kushoto kulia yashuka
Ayayaya Ayaya
Na machozi hayataki kauka (mama)
Ayayaya Ayaya
[Verse 2]
Utamu wa nanasi
Ghafla huwa mchungu sana
Ukinywa maji
Baby wangu wasiwasi
Nani kakuficha mama
Rudi basi (Uuuh)
Tajiri wa uzuni
Machozi kwangu (Bwerere)
Upepo wa firauni
Umemkumba ngedere
Mfukoni mbuni
Vichenchi chenchi (Njenjere)
Uuh namaliza sabuni
Mdomo koma (kelele)
[Bridge]
Butuu mobimba nazolela
Naumia sana Nimekuzoea
Butuu mobimba nazolela (mama aah)
Naumia sana Nimekuzoea
Hhhmm Ndoto za ajabu
Kichwani unakuja wewe
Sura yako
Nishasomewa vitabu
Bado vinasema wewe
Nikifa msiba wako (Yeee eeeh eh)
[Chorus]
Ayayaya Ayaya
Na machozi hayataki kauka
Ayayaya Ayaya
Nafuta kushoto kulia yashuka
Ayayaya Ayaya
Na machozi hayataki kauka (mama)
Ayayaya Ayaya
[Outro]
Moyo una Malengelenge
Moyo wangu eeh (Malengelenge)
Nahema kwa shida (Malengelenge)
Biashara yangu ya mapenzi (Malengelenge)
Hasara si faida (Malengelenge)
Maazoea (Malengelenge)
Nimekuzoea (Malengelenge)
Aaaah ah (Malengelenge)
Nimekuzoea