Jay Melody
Dance
[intro]
EMB record
Ooh! baby dance dance like that
Baby dance dance like that
Ooh! baby dance dance like that
Dance like that

[verse 1: Rayvanny]
Umeniteka oh my my my
Ukiondoka nitadie die die die
Napenda kitumbua chai chai chai chai
Nimekupa mbawa fly fly fly
Urembo wako oooh..
Nikikuona inadunda roho
Tabasamu lako oooh..
Sijiwezi umenikaba koo
What can I do... ,without you..., baby boo uuh! uuuh!
Ni wewe tu..., barafu... ,beautiful uuuh...
(eeeh)

[pre-Chorus; Rayvanny & Jay Melody]
Nampenda huyu, ataniua huyu
Kiboko yangu roho yangu huyu
Tamu yangu huyu
Nampenda huyu ataniua huyu
Kiboko yangu roho yangu huyu
Tamu yangu huyu
[Chorus; Rayvanny]
Baby dance dance like that
Baby dance dance like that
Ooh! my baby dance dance like that
Dance... like that
Ooh! my baby dance dance like that
Baby dancе dance like that
Ooh! my baby dance dancе like that
Dance... like that

[verse 2;Jay Melody]
Nipe...baby, mapenzi ya Tanga
Huko kunani
Are you... ready,niko na mbawa tupae angani
Ati moyo wangu mimi umekumbwa na kitu gani
Yaani siwezi bila ya wewe maishani
Hizi hisia...kama utamu sukari guru
Nishakuwa sijiwezi acha tu nipige nduru
Hizi hisia... kama tamu utamu sukari guru
Oooh penzi juu ya mapenzi yanawaka kama nuru
Baby ooohh

[pre-Chorus; Rayvanny & Jay Melody]
Nampenda huyu ataniua huyu
Kiboko yangu roho yangu huyu
Tamu yangu huyu
Nampenda huyu ataniua huyu
Kiboko yangu roho yangu huyu
Tamu yangu huyu
[Chorus;Rayvanny]
Baby dance dance like that
Baby dance dance like that
Ooh! my baby dance dance like that
Dance like that
Ooh! my baby dance dance like that
Baby dance dance like that
Ooh! my baby dance dance like that
Dance like that

[outro; Jay Melody& Rayvanny]
Oooh waah! aaaa!
Oooh waah aaaa!
Simuachi sitaki huu
Utamu wa mapenzi ntaupata wapi?
Simuachi sitaki huu
Utamu wa mapenzi niende wapi?