Ooh mumunya au tafuna kitu mwororo
Yakhe saa sita nampatia supu mkongoro
Mama ichuma biryani ya mama choro
Guza hadi mkeka sio kila siku godoro
Aii wewe nimekwisha
Ni mapenzi yamenishika
Aii mimi nimekwisha
Maumivu hasta la vista
Kama kaupara ni upara
Saa nasafisha makoto
Na ikiwa vita, fujo vurugu
Nashikisha mtondo
Hizi biashara ndo balaa
Baby nishike kwa ungo
Kavalia ushanga alafu chain
Kavalia kikuku
Aii wewe nimekwisha
Ni mapenzi yamenishika
Aii mimi nimekwisha
Maumivu hasta la vista
Tangia ya sasa, ooh yeah
Utanifanya sasa, ooh yeah
Utanipatia sasa, ooh yeah
Alhabibi, alhabibi
Alhabini, ananipa susi baridi
Alhabibi, alhabibi
Alhabini, ananipa susi baridi
Baridi, baridi
Aah anipa susi baridi