Jay Melody
Zeze
Anhaa lele lele oh owao
Kwako nota siijaingia na kutoka
Moyo wangu mkweche mamisa naogopa
Ka'Naota kabisa ka'naota
Vipi nibaeleze dodo nimeokota
Napenda sana wananiita zero
(Jay Nunda)
Inuka inama ndotoni sansiro
(Kala Lumpar)
Unyama unyama mpaka niseme ndio
(Jay Nunda)
Cheza mama nitapiga ndio
Zeze Zezee
Mama aah mpaka nyuzi zinaongea
Zeze mama aah
Zeze zeze mama mpaka nyuzi zinaongea
Zeze mama aah pole
Aanha
Hayo masihara nia yetu imara zangu ishara kichwa kichwa naingia
Anhaa
Kila idara fiti imara mama clara
My sweet my dear
Napenda sana wananiita zero
(Jay Nunda)
Inuka inama ndotoni sansiro
(Kwala Lumpar)
Unyama unyama mpaka niseme ndio
(Jay Nunda)
Cheza mama nitapiga ndio
Zeze Zezee
Mama aah mpaka nyuzi zinaongea
Zeze aah
Zeze zeze aah mpaka nyuzi zinaongea
Zeze mama pole
Zeze zeze zeze zeze
Chiz Clinton