Nviiri the Storyteller
Pombe Sigara
[Intro]
Oh, ooh, pombe sigara
Naweza wacha bila kung'ang'ana
Lakini hawa wasichana
Vile nawapenda, ni kama laana
Ooh, Sol Generation
I'm the storyteller, eh, ah, eh
Ooh, Lord

[Verse 1]
Nasikia walevi huota na beer
Lakini kuna siri nitawaimbia leo
See I'm not addicted to alcohol, I'm not a victim, not at all
Yalimpata Samson, yakampata Solomon

[Pre-Chorus 1]
Situation hugeuka tricky, kila shimo napanda miti
Contribution kwa team mafisi Karura
Ayy, situation hugeuka tricky, kwa hivyo
Msiniweke kamba kwa shingo

[Chorus]
Pombe sigara
Naweza wacha bila kung'ang'ana
Lakini hawa wasichana
Vile nawapenda, ni kama laana, ah
[Verse 2]
Someone please call 911
Tell them the Storyteller has gone down
Eti alivunja shingo akalemewa, akatoa fimbo nje ya ndoa
Na hivo ndivo alijichomea

[Pre-Chorus 2]
Ayy, situation imekuwa tricky, kuna shimo alipanda miti
Na hivi sasa ako Kamiti, kwa jela
Ayy, situation hugeuka tricky, kwa hivyo
Msiniweke kamba kwa shingo

[Chorus]
Pombe sigara, ah
Naweza wacha bila kung'ang'ana, ah
Lakini hawa wasichana
Vile nawapenda, ni kama laana, ah
Ooh, yeah, yeah
Pombe sigara, ah
Naweza wacha bila kung'ang'ana, ah
Lakini hawa wasichana (maze)
Vile nawapenda, ni kama laana, ah
Ooh, yeah, yeah