Nviiri the Storyteller
Kipetero Kiyesu
"Alikuja akanipush akanipush
Hadi nikaona acha niende ni-
Niget tu ball yake
Sa kuget ball ati nimeshakuja
Nimemwambia niko na ball
Huyo boy nakwambia aliniruka
Kipetero Kiyesu"
Chali ngori anadai wachana na party cup
Told me that nitakaa supuu with a baby girl
So nikajipa na mimba akanipachika
Kisha akanituka Kipetero Kiyesu
Sa nikipiga namba mteja hapatikani
Utadhani high jump na yeye olympian
Nikiwa napanga kumuonyesha kwetu
Aliniruka tu kipetero Kiyesu

Naishi pale Kasa na hawa mapacha
5 years bila the dad na sijamhata
Wakivunja kitu niulize nani anachapwa
Wanarukana tu kipetero kiyesu
Refa (Referee) Refa (Ona referee)
Ona vile tunachezwa, vile tunabebwa
Refa (Referee) Rеfa (Ona referee)
Ona vile tunachеzwa, kipetero kiyesu
Wakaapa wakishapata mamlaka
Mahitaji wananchi watapata
Waliposhinda ni scandal juu ya sakata
Ruka mwananchi kipetero kiyesu
Waliungana ati hiki chama chetu
Ndio tutatumia kujenga taifa letu
Lakini siasa si watu nyemelea tu
Kisha kurukana kipetero kiyesu
Wakirudi huku tena piga debe
Tunawapea mizigo zote wabebe
Watazilipa hata madeni kwa pede
Kwa ballot twarukwa kipetero kiyesu
Refa (Referee) Refa (Ona referee)
Ona vile tunachezwa, vile tunabebwa
Refa (Referee) Refa (Ona referee)
Ona vile tunachezwa, kipetero kiyesu
Athletes hujidai wazalendo
Kataa kuchange citizenship kuget doh
Lakini juu ya hii siasa na magendo
Wanatokwa tu kipetero kiyesu
Wasanii wanamake ngoma na bidii
Toka manewcomer mpaka wenye jina biggy
Ngoma ikiblow unadhani pesa ni mingi
MCSK ni ka Petero kwa Yesu
Mcees hutaka collabo na picha
Wanabatizwa wanaoshwa wanafichwa
Wakiambiwa Femi One alikuzika
Wanakanaga tu kipetero kiyesu
Refa (Referee) Refa (Ona referee)
Ona vile tunachezwa, vile tunabebwa
Refa (Referee) Refa (Ona referee)
Ona vile tunachezwa, kipetero kiyesu
Refa (Referee) Refa (Ona referee)
Ona vile tunachezwa, vile tunabebwa
Refa (Referee) Refa (Ona referee)
Ona vile tunachezwa, kipetero kiyesu
I'm in trouble, I'm in trouble
Beth rack on the door