Wakadinali
Clean Sheet
[Chorus: Domani]
Drinks ndani ya ndinga
Side chic ni dream gal
Kila kitu clean sheet
Kila kitu clean sheet
Sweatshirt, paper, drinks na maTimber
Ngepa, Ray-Ban, blings na mamzinga

Drinks ndani ya ndinga
Side chic ni dream gal
Kila kitu clean sheet
Kila kitu clean sheet
Sweatshirt, paper, jeans na maTimber
Ngepa, Ray-Ban, blings na mamzinga

[Verse 1: SewerSyda]
Nimepigia gwanda kikanzu ni ka niko Dubs
Manyuza hunibamba kwanza za Ayub
Ochu kalistafisha rice maaruf
MO-1 kidogo ago crazy '82
Tupwa kwa boot ukijidai ops
Uende south ama majuu utaback home
Kama uko alive but broke
Ama dead rich huku peng ting ni ngumu nimshow click
Enzi za mcheti ziliisha ni solfe
Kulwa blindly kwa giza hapo pet in
Made in KE usimwage hapo Henny
Meditating tushachoma hedi
Slayqueen alitaka kuenda na mimi
Dini inaruhusu nibebe wawili
Phone ndo msingi na phone haingii
Jo ningenokia mokoro wa Cindy

[Chorus: Domani]
Drinks ndani ya ndinga
Side chic ni dream gal
Kila kitu clean sheet
Kila kitu clean sheet
Sweatshirt, paper, drinks na maTimber
Ngepa, Ray-Ban, blings na mamzinga

Drinks ndani ya ndinga
Side chic ni dream gal
Kila kitu clean sheet
Kila kitu clean sheet
Sweatshirt, paper, jeans na maTimber
Ngepa, Ray-Ban, blings na mamzinga

[Verse 2: Domani]
Nikikushow toka nduki basi do faster
Mi hukujanga kama hawkers
Outer road hawa marookies ni ma new hustlers
Wasee wa GOT huniita white walker
Shori anawish tunge live like this forever
Hajali nani anagonya at this endeavour
Sisi na masanse hucheza rock-paper-scissors
Hawakushikangi with a girl ubebe drinks na mamzinga
Niko na namba za kila warden mabros wakitingwa
But wa round hii alisema ilikuwa kubwa hio call walitinga
I used to be an African slave
Now am free from the shackles
Treat me like a bird am gon' turn into a scarecrow
Naskia buda si ubebe rota na hivo ndo niliota
Kudrika fiti East naishi pabaya na nimeng'orota
Si huzisundang'a kwa mkebe za makaa
Tukitembeza drugs hadi kwa duka za masaai

[Chorus: Domani]
Drinks ndani ya ndinga
Side chic ni dream gal
Kila kitu clean sheet
Kila kitu clean sheet
Sweatshirt, paper, drinks na maTimber
Ngepa, Ray-Ban, blings na mamzinga

Drinks ndani ya ndinga
Side chic ni dream gal
Kila kitu clean sheet
Kila kitu clean sheet
Sweatshirt, paper, jeans na maTimber
Ngepa, Ray-Ban, blings na mamzinga