Wakadinali
Omoka
( Mastar Vk )
Buda ju nimeomoka nikipita kwa njia ondoka(ondoka) , daily naball na mogoka ju nimekafunga ka locker(locker), Vera anaringa na planyo iza joh nimetambua kwamboka(kwamboka) bado unacheza na bano nipate casino mi huchezanga poker(iyee)
Hii pesa imeniweka mbele ndani ya gari si weh ni kadere(kadere) , unaringa na vile uko nyuma naeza kutuma nisichafue puma (puma), Msupa anaitwa auma nilikuslice na nikakauma(ooh), kumbe hupendaga chuma alijinice we hufanya ananuna(nuna), ati Vk napenda your swag(swaga) mi baby napenda hiyo nyuma(haga) , Niko na mapesa kwa bag na zinaeza kutibu hapo mahali unaumwa(umwa), usiku ye hapendangi Giza(yeah) ndio maana mi hupull up na pizza(haah) kindom kiwake alafu mastaar unanimaliza , ju shoti napiga ka chweza Buda ju nimeomoka na fare silipagi chweza Uber ju nimeomoka(Omoka)

( CHORUS )
Swagga ni ngori nadunga machain Buda ju nimeomoka(Omoka) na bado ni kweli nakunywa madem Buda ju nimeomoka(Omoka) Buda ju nimeomoka(nimeomoka) Buda ju nimeomoka(nimeomoka) nasema ni kweli nakunywa madem Buda ju nimeomoka(yeah yeah) Swaga ni ngori nadunga machain Buda ju nimeomoka(nimeomoka) na bado ni kweli nakunywa madem Buda ju nimeomoka(nimeomoka) Buda ju nimeomoka(nimeomoka) Buda ju nimeomoka(nimeomoka) nasema ni kweli nakunywa madem Buda ju nimeomoka(yeah yeah yeah yeah ayee)

( DOMANI MUNGA )
Mi swagga ni ngori nakunywa madem We ni upige ithafu uomoke
Toka tupate pia sisi Soko yetu Tuliwacha kutrap huko kwote
Vile tuna press more kama doom This end of topic maroaches
This is win and loses Street tunahawk ,Tukitake Lots of risks for the bosses
East napumzika fiti Nika nimelala jela zote Embakasi
Rap mi ni mzazi Still, si ndo huponanga bling zote za wasafi
Mi hulala same ka kitambo Mzee mzima provider siwezi kuwa mrazi
Niliambiwa me ni savage Kupanda stage na Njumu za designer Store zote nina wafuasi
Last victim kwa crime Kitu waliona ilikuwa ni mashetani
Ju tulimkula, hashtag excellent Ilikuwa perfect timing
Eastlands mahali tunaishi Parents wanaburry their kids
Venye madem wako abused in these streets hizi Memories zinanipea tease
Promoter alielewa kwa sana Mi huwanga mavitu za kupunguza mastress
Naskia show ilikuwa lit Hata after kuunguza hiyo event

( CHORUS )
Swagga ni ngori nadunga machain Buda ju nimeomoka(Omoka) na bado ni kweli nakunywa madem Buda ju nimeomoka(Omoka) Buda ju nimeomoka(nimeomoka) Buda ju nimeomoka(nimeomoka) nasema ni kweli nakunywa madem Buda ju nimeomoka(yeah yeah) Swaga ni ngori nadunga machain Buda ju nimeomoka(nimeomoka) na bado ni kweli nakunywa madem Buda ju nimeomoka(nimeomoka) Buda ju nimeomoka(nimeomoka) Buda ju nimeomoka(nimeomoka) nasema ni kweli nakunywa madem Buda ju nimeomoka(yeah yeah yeah yeah aye)

( BOUTROSS )
Buda jo niliondoka (Ondoka)
Na shawty anadai bakora (Bakora)
Skimbi kumbe ako mboka
Dem aliniitia wakora
Pull up kejani
Ati ye huchill tu mtu mmoja (Mtu mmoja)
Buda nishashusha toja
Kumbe uko kitchen ndio maboy walitoka, buda niliporwa
Mtaa ni noma (Mtaa ni noma)
Bouty ilibidi nimesoma (Soma)
Vile nitalindaga boma (Boma)
Hata ka mi nimekonda
Mi hukula zenye zimenona (Nona)
Nikipata mboka naomoka (Omoka)
Huwezi nipata kwa corolla (Eey)
Buda always niko working Nyi mnacheza mi niko kazi eey
Chunga ukitembea mtaani Hapa ni ngori maboy wako lurking Eey (maboy wako lucky)
Mi niliachana na jaba Mi na mogoka hatupatani eey
Bouty siachani na majani
Hata kama huwezani eey
Ita maboy wa NACADA Vile nawasha hizi vichaka eey
Mi ni boy wa Wakanda Sistuki na stori Za mboka Mboka mboka eey(Kama ni ngori)

( SCAR )
Mapetco, Ndio bani akibonga nalet go( Pah pah )
Mateso Mabeast wakora wa ghetto (Shah shah )
Kwa kettle Napika chang'aa ndani ya rental Ni mapepo
Snitch alib***h akakangwa hadharani kwa esto Mi nimeomoka
Pussy n***as wanapenda kuchocha Nakumbuka matha akienda kukopa
Hii si riba nilichoka kusota Fuck them, walibonga mengi Nilipofika baze wakaondoka
Hapa Kenya huku hakuna wera Ka unasaka hela mpaka Doha
Na vile maskele hujipa kwa rende Siku hizi jo mi nimeogopa
Nilibambwa na jenge mangware ju ya tire By jioni nilikuwa nimetoka
Alah wakbar, wanabonga mengi wana lack bars
Mi ni donga nyinyi ni marap fans
Simnaona ni nini hardwork does
Toka lini mimi Scar na wack verse ( Eey aah uuh, )
Hivyo ndo nahisi Usidhani kuishi na ego ni rahisi
Hamjastruggle ka dingo wa maiti
Tulianza juzi nyi mlishindwaga nais**t
Eeey we can never hype Nikikuona naona kijana you are lied to
No wonder ulihandwa walai ju Even you're dead brothers never like you
I swear this rappers they know us
Tungewazoza ni vile ilifikaga Mahali we needed to grow up
Coz most of my brothers they locked up