Loverboy
DOWN
LOVER BOY

Chorus

Shuka down (eeeeh)
Shuka down ( twende ma)
Shuka down ( eeeh)
Shuka down ( twende ma)
Shuka down (eeeeh)
Shuka down (twende ma)
Shuka down ( eeeeh)
Shuka down (twendeee)

Verse 1

Niko nama sele tu tuna chill (eeeh)
Akapita mtoto nkasema that's the deal (eeh)
Nikasema hi girl.. how you feel
Do you need the drink i will pay your bill

Aka sema m'daddy is pastor sikunywagi pombe
Naelekeye kanisani nache nika ombe
Ila kama soda achabasi nisheke kombe
Ame mix vyote so youko hoe

Ame kwnda down ame kwenda low
Ame kunywa champagne na Taquila four
Ana taka mmm ajataka do
Ana fanya mabo mpaka mena bowe
Chorus

Shuka down (eeeeh)
Shuka down ( twende ma)
Shuka down ( eeeh)
Shuka down ( twende ma)
Shuka down (eeeeh)
Shuka down (twende ma)
Shuka down ( eeeeh)
Shuka down (twendeee)

Verse 2

She said she when read my dictionary
She activate me Automatically
She only think Biologically
This love go's internationally

From no way akakuja kwenye bed
Bahati baya akanikuta kwene mood
Mtoto motamu kamtafuna kama food
Sheka ukuta pakafuta ikibed

Kama soccer kweli me ni defender
Nilifata ball kote ilipo kwenda
Nikampa kilakito alichu penda
Ki zombe nikatoka milenda
Kama Diamond basi TETEMA
Kama Rayvanny chuchuma
Kama Ravanny basi pepeta
Twendi high kama savata (2x)

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
LOVER BOY
Ha ha ha ha ha ha ha ha

Chorus

Shuka down (eeeeh)
Shuka down ( twende ma)
Shuka down ( eeeh)
Shuka down ( twende ma)
Shuka down (eeeeh)
Shuka down (twende ma)
Shuka down ( eeeeh)
Shuka down (twendeee)