Zzero Sufuri
Chachisha
This how we party in a holiday
Ni kila siku kuchachisha yeah
(Ni kila siku kuchachisha)
This how we party in a holiday
Kabla wakati hujaisha yeah
(Kabla wakati hujaisha)

Huskii nitakula merry christmass
Na mkuje sherehe
Na msikose pia kuja na G-Bag
Tutapiga sherehe

Unakuja umepiga ma slippers
Umealikwa sherehe
Ukipata mchele pia imeisha
Unaweza sema tuekelee

Si ni kawaida ndani ya party utapatanao
Wamedunga vitu fupi na zimewabana
Cheki macho nyanya vile nimechoma
Na hadharani sitambuangi ma informer

This how we party in a holiday
Ni kila siku kuchachisha yeah
(Ni kila siku kuchachisha)
This how we party in a holiday
Kabla wakati hujaisha yeah
(Kabla wakati hujaisha)
Cheki mi usiniite kwenyu bash
Na hamna budget ya magode
Si ni poa na cash
Hata kama joh si zote

Ngori ni sikia ati wa(Wa)
Ati heri njooni nyote
Na kama we ni wa kwa(Kwa)
We ni wa wangu saa zote

Ukijifanya kuku sana wengi
Wengi wanakuchemshia maji
Ku ku kuku manga
Hutumiwa na watu hawaraushagi

Sikiza vile naikula, naikula
Hadi wengine hawalali
Naifanya inakuwa tamu
Hadi maneiba wanaidai

Si ni kawaida ndani ya party utapatanao
Wamedunga vitu fupi na zimewabana
Cheki macho nyanya vile nimechoma
Na hadharani sitambuangi ma informer

This how we party in a holiday
Ni kila siku kuchachisha yeah
(Ni kila siku kuchachisha)
This how we party in a holiday
Kabla wakati hujaisha yeah
(Kabla wakati hujaisha)
Cheki si mnajua ni Gitah dem ya Peter
Ali-divorce na Peter ati juu najua guitar
Na kameiva nakaitanga senorita
Kwa siku nisipomuona mi huskia nimekatsika

Ka nilikuwa handes manze ju yake haziezishika
Nikukatema kwanza nipite marema
Nicheki form kaa naweza angukia ki shh ssh
Nijenge apetite ya kudema

Ni avoid kuhema juu ka
Unaweza ni heri ungesema
Unaweza kuwa meza
Ubaki umepanguzwa
Na hadharani sitambuangi ma informer

This how we party in a holiday
Ni kila siku kuchachisha yeah
(Ni kila siku kuchachisha)
This how we party in a holiday
Kabla wakati hujaisha yeah
(Kabla wakati hujaisha)

Huskii nitakula merry christmass
Na mkuje sherehe
Na msikose pia kuja na G-Bag
Tutapiga sherehe
Unakuja umepiga ma slippers
Umealikwa sherehe
Ukipata mchele pia imeisha
Unaweza sema tuekelee

The way you give me good feeling (My ooh my)
Talking about this a real thing (ju yako naweza fly)
The way you give me, am addicted

The way you give me a good feeling (My ooh my)
Talking about this a real thing (ju yako naweza fly)
The way you give me, am addicted (Si iko sukari juu sana)
The way you give me, am addicted (Si uko na sukari kwa sana)