KANSOUL & VIVIAN
Accelerator (Serereka)
Beep beep, You gat the You gat the keys to my jeep
Usistuke sana mrembo hii ni stick shift
Iginition Iginition baby full speed
Skeed skeed skeed, skeed

Accelerator, Speedometer
Kuserereka, Speedometer
Accelerator, Speedometer
Kuserereka, Speedometer

Bizi bizi bizi blazi blazay
Unajido na uko hungry
Chalimdogo na uko thirsty
Ukisleki ntakuroga you'll be my honey
You say you want me
Oh you're so funny
Cuz Ive heard it all before
Ive heard it all before
Baby this
Baby Thaaaat

Beep beep, You gat the You gat the keys to my jeep
Usistuke sana mrembo hii ni stick shift
Iginition Iginition baby full speed
Skeed skeed skeed, skeed

Accelerator, Speedometer
Kuserereka, Speedometer
Accelerator, Speedometer
Kuserereka, Speedometer

Ka kuku ni ndege (uhuh)
Basi samaki ni meli (Okay)
Ka ngoma ni Genge (mhhmm)
Kwa microphone mini mkali (Yo)
Utanipata na maboyz niki kata maji
Kwa Dunda sipendi vita jo na watiaji
Niki serereka
Napenda ndogogio
Na ndimu
Na jug ya maji moto

Beep beep, You gat the You gat the keys to my jeep
Usistuke sana mrembo hii ni stick shift
Iginition Iginition baby full speed
Skeed skeed skeed, skeed

Accelerator, Speedometer
Kuserereka, Speedometer
Accelerator, Speedometer
Kuserereka, Speedometer

Ka wewe ni gari
Basi mimi ni driver
Ka wewe ni nduthi
Basi mimi ni rider
Ka we ni bunduki
Basi mimi ni sniper
Kama wewe kitanda
Basi mimi pyjama

Sexy Badi Sexy Badi gyal like a Bimmer
Lemme put it in reverse I want it bumper to bumper
Umebeba umebeba utadhani ni trailer
Kama wewe ni keja
Basi mimi ni neiba

Beep beep, You gat the You gat the keys to my jeep
Usistuke sana mrembo hii ni stick shift
Iginition Iginition baby full speed
Skeed skeed skeed, skeed

Accelerator, Speedometer
Kuserereka, Speedometer
Accelerator, Speedometer
Kuserereka, Speedometer

Alete shangwe
Wenye wana stamina kaa hii wachache
Kama imeninyce ilambwe
Ana waste time aparare
Kama mawe ay

A trailer loada trailer loada
Girls inadi house
We rombosa
We dondosa thighs ziki bounce
Hizi trouser zina shuka style ya ma dancer
Minawaangusha tu design ya mambanga

Accelerator, Speedometer
Kuserereka, Speedometer
Accelerator, Speedometer
Kuserereka, Speedometer

Beep beep, You gat the You gat the keys to my jeep
Usistuke sana mrembo hii ni stick shift
Iginition Iginition baby full speed
Skeed skeed skeed, skeed

Anywhere you want me Boy you can have me
Vivian and Kansoul oh di ladida
Nananananaaana, NanananaNaaaaa
Vivian and Kansoul ladidadidaa