Ooh Ma Sheri
[Verse 1]
Sheri kimula mimi nakufa
Ani nya jomoko mami itoyo fuondena
Ahero sana pilirundo ga wiya
Nyathi jomoko adieri ilalo ga pacha
To dong adengo ti kaayudo konyruok na
Ani weauru monda asunge jabatha
Opong’ to muol atoti unanimalisa
Niisi na wewe milele mpaka kufa
Unisalie watoto mama
Nakuahidi hutokosa
Ayie idho gode monda aketie kuon e mesa
Aseko yie in koro ateri moso anyuola
Mamanaaaaa (Musiki santimaaaa musiki bila jasho)
[Chorus]
Sheri, mama, baby
Nakufa nakufa nakufa
Nakufa nakufa nakufa
Sheri, mama, baby
Nakufa nakufa nakufa
Nakufa nakufa nakufa
[Verse 2]
Mama sheri
Usiniache nitakufa eeh (uuuutaniua)
Kila unaponipigia simu lazima nitakuja eeh
Ukisema nikuje jioni nitanunua chupa mama(Ukisema nikuje jioni nitanunua chupa mama)
Lolo tupendane mpaka kufa eeh
[Verse 3]
Oooh Sheri mapenzi ya leo naogopa
Kwanza warembo wa ngolopa
Wameweka mitego kwenye mabar(oh lord)
Ila ukinitegе sitakataa
Nitakopa ee, nitalima ee mama
Nitachanga nitaiba
Oh oh oh oh tupendane mpaka kufa eeh
Muziki ya pesa, muziki bila prеsha
[Chorus]
Sheri, mama, baby
Nakufa nakufa nakufa
Nakufa nakufa nakufa
Sheri, mama, baby
Nakufa nakufa nakufa
Nakufa nakufa nakufa
[Verse 4]
Baby babe nishaachana na maformu za Ashura babe
Hata Nafula namba yake nimefuta
Naku assure (eeh)
Usiku silali naona sura yako mrembo
Daily natamani kwako ningekuwa visible
Nateswa na rada kila nikikuona na huyo jamaa
Kweli mama wanifaa waniua (Murder! Murder!)
How do I live without you beiby?
Nenye khube wanje
Nipeleke Eregi kwa mama
Nimweleze na baba
Girl I need you in my life
Naona wivu when I see you holding hands
Kama mwezi usiku
Baby you know you're the one
[Chorus]
Sheri (Baby you're the one)
Mama (Without you I can die)
Baby (Baby yeah)
Nakufa nakufa nakufa (Baby yeah)
Nakufa nakufa nakufa
Sheri (Baby nakuhitaji yeah)
Mama (Without you siwezi yeah)
Baby (I will die yeah)
Nakufa nakufa nakufa (Baby yeeeh yeeeh)
Nakufa nakufa nakufa (Kufa nakufaa)