[Intro: Daniel Day-Lewis]
Fear. The spectacle of fearsome acts. Somebody steals from me, I cut off his hands. He offends me, I cut off his tongue. He rises against me, I cut off his head, stick it on a pike, raise it high up so all on the streets can see. That's what preserves the order of things. Fear
[Chorus: Seska]
Bloody scene, ma-reporter wahepe
Kaa ni scene, ma-revolver, ma-AK
Baki scene, kawe gwangi ama senke
Hapa gwangi atabakisha masenke
Ama gwangi atabakishwa na senke
Hapa gwangi atabakisha masenke
Ama gwangi atabakishwa na senke
Hapa gwangi atabakisha masenke
[Verse 1: Dullah]
Mauru ni mahuru, ye atabaki kuwa mahuru
Na wa huku hutumia dumba na madawa kama dudu
Kaa ni vita, utabaki bila ukapi na marungu
Hapa issue sitaki, unaweza vunjwa, bloody nugu
Pia ma-misuse sitaki, jua exile tuko huku
Bila morio, bila ndugu, utaweza? Utafaulu?
Kila mtu ana virusi hadi ma-pastor wanajishuku
Hapa hakunanga mapenzi, jo, mapenzi haiezi dumu
Na nakunauwo, nakudigi, gotea morio, chaji, zigi
Ye huzi-roll bila zigi, buda riang', kaa makini
Kunywa thiang' kama mbili, buda riang', huna akili
Huwezi burn kaa nare, huweza run kaa mkale
Kisu, kisu haichagui koma, koma cocker haichagui kisu, kisu
Kisu haichagui koma, koma cocker haichagui kisu, kisu
Kisu haichagui koma, koma cocker haichagui kisu, kisu
Unambao na unadai ku-buy Kibao nusu
[Chorus: Seska]
Bloody scene, ma-reporter wahepe
Kaa ni scene, ma-revolver, ma-AK
Baki scene, kawe gwangi ama senke
Hapa gwangi atabakisha masenke
Ama gwangi atabakishwa na senke
Hapa gwangi atabakisha masenke
Ama gwangi atabakishwa na senke
Hapa gwangi atabakisha masenke
[Verse 2: Smady Tings]
Yeah
Zama choche ya machingri na makidri
Hawa marezi wanabanja ni wanigri
Nafufua ile ilengi wanazibri
Rengwa wako Chiromo kwa njifri
Mi hupenda kuzi-cock kama koki
Kama mbaya basi tunabaki mbogi
Uko tifla, umebugda kwa rodi
Na madibla zimetapakaa kwa rodhi
Morio ngori anasimamia njiste
Kaa ni ngeso, mi huzungusha na Diffre
Kaa ni asset, kuzipeleka moriste
Kaa ni Baley, mi hubwagishanga ticre
Tuko frontde m-G, tumejibeba
Tuko stroko kila giz kujibeba
Kaa ni shake, si hulima hizi ndepa
Hizi shang' ndio husababisha rieba
Niko ndoso, nawazama tu mambosho
Ni kunare, walidhani ni kunyozo
Zimeshika kaa simiti na kokoto
Kuwateki kwa warosho kimangoto (gunshot)
[Chorus: Seska]
Bloody scene, ma-reporter wahepe
Kaa ni scene, ma-revolver, ma-AK
Baki scene, kawe gwangi ama senke
Hapa gwangi atabakisha masenke
Ama gwangi atabakishwa na senke
Hapa gwangi atabakisha masenke
Ama gwangi atabakishwa na senke
Hapa gwangi atabakisha masenke
[Verse 3: Seska]
Kifo haichagui kaa umeokoka, haichagui kabila
Haichagui kaa umeomoka, haichagui kama wewe hukaa bila
We ni simba, blunder umekam, sina itoka na bilaa
Achanga ufike shang', halafu upate mi ndio guntila
Achanga ukabila, si ni watumwa, tuliacha mila
Medi wa miraa, huwezi nipata mi bila silaha
Bangi na miraa, bangi na, bangi na miraa
Bangi na silaha, kuna vitu siwezi kaa bila
[Outro: Seska]
Bloody scene, ma-reporter wahepe
Kaa ni scene, ma-revolver, ma-AK
Baki scene, kawe gwangi ama senke
Hapa gwangi atabakisha masenke
Masenke
Masenke
Masenke
Hapa gwangi atabakisha masenke