Raul,Gwaash,CrazyNairobian
Mdarano duff mpararo
(It's made by daydro)
Mdarano duff mpararo
Mdarano duff mpararo
Mdarano duff mpararo
Eh
Mdarano duff mpararo
Verse 1- Raul
Chapo 30bob kwani ni mkeka
Tumia flavored condoms kuspice mapenzi
Una nightdres ama ni shati za campaign
Lala na mzee wachana na pajamas
40 percent kwa class na kwa clubu
Ukiniita bash ntakuja na kiyeng
Mapaja bigi yaani Chemu thigh
Una shoe rack ama kwako ni msikiti
Siwezi date mode staki anifunze lesson
Eti Ushago wananyonga na matope
Mtu anaitwa sam kumbe ni samaki
Tatoo ni ya panya eti ina deep meaning
Houseboy akioa housegirl wanapata house fly
The longer the fingers the shorter the tail
Pedi hayuko itabidi shetani atuchome
Zilipuke hadi delilah afungue salon
Chorus
Mdarano duff mpararo
Mushango unatoa murangano
Muratho nkishoot manjugu
Mushango chai Haina Mushamo
Verse 2- Gwaash
Walisema ni ndoro ati haina mushamo
Nimekuja kuispice kama reggae ya mo spice
Nlianza hii game nkidhani sitamake
Saa hii napiga tu mashow na madame wame undress
Ndugu yangu nyenyekea utamake kwa hii game
Ni bidii tu na mola na utaona ume trend
Watabaki wamehate watabaki wamekusize
Parasha mingi kwa mdomo wanajua mi’n bazenga
Sjawai draw mistari nimekuja kuwa wash
Last year walihate lakini joh sikumind
Hali joh ya showbiz
Nimemada nimekalas nimetei na hii beat
Chorus
Mdarano duff mpararo
Mushango unatoa murangano
Muratho nkishoot manjugu
Mushango chai Haina Mushamo
Verse 3- CrazyNairobian
Nimekafunga kama bandana
Design ya nduthi gang tuna Pandana
Kanapenda ndizi tuna banana
Hatu Kati maji tuna gwarana
Mi hukata maji once in a Bluemoon
Mi si Kenrazy sita cum Sosoon
Nipee ni gware, ni gware hadi ngware
Ni gware from 4 to 6 ka Kawangware
Ka nguo fishy madam nitazivua
Labda unanyesha madam design ya mvua
Jina ni Crazy na mi ni Nairobian
Napenda madem utadhani mi ni lesbian
Mi huchora lines, hii ni cocaine flow
Niko na bars, walevi ndio hu attend my shows
Yeah,walevi ndio hu attend my shows
Yeah,walevi ndio hu attend my shows
Outro
Mdarano duff mpararo
Mushango unatoa murangano
Muratho nkishoot manjugu
Mushango chai Haina Mushamo