Hitman ting, Hitman ting
Badman ting, badman ting
Hitman ting, Hitman ting
Wabebe skilo, wabebe waskie ah ah
Wabebe skilo, wabebe waskie ah ah
Wabebe skilo, wabebe waskie ah ah
Wabebe skilo, wabebe waskie ah ah
Wabebe, si ujibebe
Dem yangu anadai tu matembe
Niko fiti, nimejiseti
Amejibeba, usimuweke
Niko East kwa Mabeast
Na manjege wako on
Amejibeba ako fine
Sura nzuri amevai
Kwani nini uko high
Piga moshi ukuwe high
Ukiweza toa kutu uzirai
Ukinimwaga skia fine
Kazi safi inadai
Watoto wawili tunadai
Njoki nduta na wa mine
Iko nini uko fine
Young Rhetro walai
Uko maji haidai
Nitakukata walai
Tumewabeba walai
Ngoma mbili zinadai
Nikimada sema 'Hi'
Kwa Vuva na Raj eeh
{Tumewabeba walai
Ngoma mbili zinadai
Nikimada sema 'Hi'
Kwa Vuva na Raj eeh}
Wabebe skilo, wabebe waskie ah ah
Wabebe skilo, wabebe waskie ah ah
Wabebe skilo, wabebe waskie ah ah
Wabebe skilo, wabebe waskie ah ah
Gal gal she a bad and she know(She know)
Cheki vile amenimada Shiro(Shiro)
Like a slave body girly she go(There she go)
Dogo dogo beiby ka kinyonga
Mi napenda vile haga inasonga
On the floor kwanza hii beat ikigonga
No life fine gal umeniroga
Unastand kama matatu tu za Ronga
Nakubeba everywhere mi ndio donda
Wacha kubonda, tunawatoka
Wanachoka, wanabaki wakislim wakikonda
Waskie tu ma 'auch' vidonda
Tunawatoa mbio mbio kama Honda
Pewa makali wanatoa mpaka njeve
34 tunakujaga mpaka na rende
Boy Vuva tu na Gwaash na B Razor
Big tune kwenye club wanacheza
Wabebe skilo, wabebe waskie ah ah
Wabebe skilo, wabebe waskie ah ah
Wabebe skilo, wabebe waskie ah ah
Wabebe skilo, wabebe waskie ah ah
Toka tao hadi Doni nawabeba mbao mbao
Hao hao nawabeba hadi hao
Nao nao juu juu ka karao
Beba 'Shhh' ndo tuwashe angalao
Nina heshima so sipendi madharao
Tuna yeye hadi tutoe njeve
Trouser bila belt
Tumebeba mizigo kama mama wa Gikomba
Wah, I swear nikimcheki mi namelt na
Hako aware leo usiku nitatesa
No fear ju, nimejibebea maCDs kama DJ
No sweat, usiku bila vest
No test, game pole pole kama chess
Na after that nitakubeba kila place
Queen na crown we ndo empress
Pesa mingi nimebeba nikuimpress
Nina interest, kwako nisha invest
Wabebe skilo, wabebe waskie ah ah
Wabebe skilo, wabebe waskie ah ah
Wabebe skilo, wabebe waskie ah ah
Wabebe skilo, wabebe waskie ah ah