Rich Mavoko
Sheri
"Sheri" ft Fid Q
[Intro: Rich Mavoko]
Na ding dong baby
Na di di di dong baby (yeaah) hhhm habaa

[Verse 1: Rich Mavoko]
I feel ka niko Dubai tunakula nyama chomaa baby
Umeniweza nawe tukaruke na magoma sheri
Motema nangae kama ganja tutachomaa for real
Nitaondoka nawe hata kama ukigomaa
Natamani nilewe niondoke na wewe aah mapema
Utafanya makosa nisipo ondoka na wewe aah ukigoma
Ntafosii utakacho naogopa wavimba macho
Wasiondoke na wewe
Yako mikato michoro fulani pikaso
Najimaliza mwenyewe

[Chorus : Rich Mavoko]
Oh sheri (tetera) sheri (tetera) sheri (tetera)
Sheri motema na ngai
Oh sheri (tetera) sheri (tetera) (ona mususu nayo) sheri (tetera)
Sheri motema na ngai
Oh sheri (tetera) sheri (tetera) (sheri na amba nawe) sheri (tetera)
Sheri motema na ngai
Oh sheri (tetera) (oh ndagukunda chane) sheri (tetera) sheri (tetera)
Sheri motema na ngai
[Verse 2: Rich Mavoko]
Ningekuwa chumbani ningeweweseka nawe
Kwenye sita kwa sita
Zile purukushani za kuseleleka nawe
Kwenye chaki napitapita
Kifuani saa sita mamasita babalita
Ulivyo baby face
Senhora margarita senorita kama picha atupige kifesi

[Verse 3: Fid Q]
Maa wee ni queen queen tena rasmi
Na umekaa kimjini mjini yani nasty
Haifai nipewe namba yako kwa napkin
Na wahudumu gumu nitupe kwa dustbin
Na nilitaka nikufuate nikwambie ya kwamba
Nataka nikwambie umembamba huyu mkaka
Mkimbie akuone mshamba unanata
Alieka mdananda aliechacha

[Pre Chorus: Rich Mavoko]
Ntafosi utakacho naogopa wavimba mamacho
Wasiondoke na wewe
Yako mikato michoro fulani pikaso
Najimaliza mwenyewe

[Chorus : Rich Mavoko]
Oh sheri (tetera) sheri (tetera) sheri (tetera)
Sheri motema na ngai
Oh sheri (tetera) sheri (tetera) (ona mususu nayo) sheri (tetera)
Sheri motema na ngai
Oh sheri (tetera) sheri (tetera) (sheri na amba nawe) sheri (tetera)
Sheri motema na ngai
Oh sheri (tetera) (oh ndagukunda chane) sheri (tetera) sheri (tetera)
Sheri motema na ngai
[Outro: Rich Mavoko]
Gal give me your number sweetie ooh baby
Please give me your number sweetie ooh baby
Gal give me your number sweetie ooh baby
Please give me your number sweetie ooh baby

Kwanza Kifuani saa sita mamasita babalita
Ulivyo baby face
Senhora margarita senorita kama picha atupige kifesi
Mi ndo bad man Richard …bad…bad…Richard haba…Richard