BURUKLYN BOYZ
DREAM YA KUTOKA KWA BLOCK
[Intro: Ajay]
Mason (Mason, mason, mason)
Tano nane
Uh, yoh

[Chorus: Ajay]
Tulikam na dream ya kutoka kwa block (Block), yaani to get rich (Rich)
Tuomoke in short (In short)
Nikilala mi huacha maisha yangu, kwa mikono ya God (Krrr, krrr)
Nadai mkumbuke when am gone (krrr), muendelee kuplay our songs (krrr)
Ajay na M. Right duo strong
Tulikam na dream ya kutoka kwa block (Block), yaani to get rich (Rich)
Tuomoke in short
Nikilala mi huacha maisha yangu (krrr), kwa mikono ya God (krrr)
Nadai mkumbuke when am gone (yoh), muendelee kuplay our songs
Ajay na M. Right duo strong

[Verse 1: Ajay]
Si Arsenali but watch nikipull up na ki rifle (Boom)
Society inadhani tunafumble (Fumble)
Ati wao wanacheki kwa mneti kama ma idol
Wanatupenda ju tunaenda viral (Yoh)
Nilikuwa kwa mood mbaya, nikaseti kishash nikakuwa ital
Kwa ground mambo ni nare (Nare), maboy wanafaa wareform (Reform)
Lakini watareform aje na washajua ganji, itoka na ndom
Niko safe niko fiti hizi zone, huwezi nishow venye we ni mwrong
Kama anaita mbogi am sure niko na watu strong
Hizi streets zinataka ukuwe mpole man yoh ama utapangwa
Mrеsh wako asicheke na magoon, huku East ama atamangwa
Perеka huko ukidhani ntajali, hautalambwa (Yoh)
Mkono zimetighten, msee atanitry, ataganda (For real, for real)
[Chorus: Ajay]
Tulikam na dream ya kutoka kwa block (Block), yaani to get rich (Rich)
Tuomoke in short (In short)
Nikilala mi huacha maisha yangu, kwa mikono ya God (Krrr, krrr)
Nadai mkumbuke when am gone (krrr), muendelee kuplay our songs (krrr)
Ajay na M. Right duo strong
Tulikam na dream ya kutoka kwa block (Block), yaani to get rich (Rich)
Tuomoke in short
Nikilala mi huacha maisha yangu (krrr), kwa mikono ya God (krrr)
Nadai mkumbuke when am gone (yoh), muendelee kuplay our songs
Ajay na M. Right duo strong

[Verse 2: Mr Right]
Kwa street mi hukuwanga champ na, mi nadai hizo ma trophy
Na ka unani owe ma ganji man, mi nadai ikiwa na profit
That’s why mi hukuwa kwa office, Men in Black tumerock makoti
Lately mi' hutrace manoti, maisha yangu naachia Sir Godi
Uh, flow ni ya kimaajabu na, hii beat ni choppy
B-Boyz si huset matrend na, si huset masubject
Na nimekam nimerock ma blue fam, chini ni red carpet
Mafan wana appreciate talent hadi day watablow hio trumpet
Shash iko joh kwa chalice mi najikill close hio curtain
Na mi sidai ma opps wajue vile nlidraw hio pattern
Huku daily si hu run ma opps na, unaezadhani ni circus
Buruklyn Boyz si huleta fracas kama ni drill close hio chapter (Chapter, chapter, chapter)