BURUKLYN BOYZ
Ach Her Back
[Intro]
Tano nane
Ayo who made this MO7 did it again
Yow tano nane, huh-huh
Kwani ni kesho, listen, huh
Kwani ni
[Chorus]
Mabro ma G what's up? (What’s up?)
Huu mpoa hajui kutwerk (Ku twerk)
Anajua ku arch her back (Back)
Number seven on the trap
Tunafunga then we back mark, counter we attack ('Tack)
Tunafunga then we back mark, counter we attack
Mabro ma G what's up? (What’s up?)
Huu mpoa hajui kutwerk (Huh)
Anajua ku arch her back
Number seven on the trap
Tuna cork it, cork it, cork it, machine ina clap
Mic wangu ni kama rival, so si mu try machine ina clap, clap, clap
[Verse 1]
Hizo vitu zikichezwa kwa system, head toe head tunatetemeka (Meka)
Soul shaker leather ni hard core hauwezi ni tеma (Ah-ah)
Tano nane member in Muthurwa rudi kwa ngokе sell mateka (Cash, cash)
Deposit kwa ma star best rapper tuna meta, meta, meta
Yoh
Ukitaka joh kubaki, man step on my Air force one, usinitry that in true
Nilikuwa na ma Nikey shoes
Huu boy ana drip, huu boy ana drip, wana ni watch in 3D
Ka ile movie ya twenty, ka ile movie ya twenty four (Aah)
Huu boy ni driller (Aah)
Na bars zina taste Vanilla
Achana na wapoa ni wengi, si aliringa, si aliringa (Aah)
Huu boy ni driller man (Huu boy ni driller)
Huu boy ni driller (Huu boy ni driller)
MR.RIGHT best rappers si hukuaga ma killer
[Pre-Chorus]
Simba, simba, simba, simba ka hakuna ni ma kofi spirit
Nimeshinda nikiroga usiku, so nilidoz kwa daro ya Physics
Wanauliza where you arch haujui? Buda nilikua kwa tizi
So ni one twenty five sling bling sio ma Fiji
Simba, simba, simba, simba ka hakuna ni makofi spirit
Nimeshinda nikiroga usiku, so nilidoze kwa daro ya Physics (Joh)
Wanauliza where you Arch haujui? Buda nilikuanga tizi
So ni one twenty five sling bling sio ma Fiji
[Chorus]
Mabro ma G what's up? (What's up?)
Huu mpoa hajui kutwerk (Ku twerk)
Anajua ku arch her back (Back)
Number seven on the trap
Tunafunga then we back mark, counter we attack ('Tack)
Tunafunga then we back mark, counter we attack
Mabro ma G what's up? (What's up?)
Huu mpoa hajui kutwerk (Huh)
Anajua ku arch her back
Number seven on the trap
Tuna cork it, cork it, cork it, machine ina clap
Mic wangu ni kama rival, so si mu try machine ina clap, clap, clap