[Intro: Mr Right]
Uh .58 flavour
(Oh my God Phill!)
Nimekuwa busy kwa block adi nimesahau kuenda kwa studio
All day tuki tafuta Juliet, ju, tuko na Romeo
Ni ma ups and downs, ni ma ups and downs
Manze ni movie yo (Kwani ni kesho?)
[Chorus: Mr Right]
Uh, nimekuwa busy kwa block adi nimesahau kuenda kwa studio (Studio)
All day tukitafuta Juliet, ju tuko na Romeo (Juliet ju)
Ni ma ups and downs, ni ma ups and downs
Manze ni movie yo
Na u-tune hio radio man, na uongeze volume kwa stereo
Nimekuwa busy kwa block (Block)
Adi nimesahau kuenda kwa Dencho (Dencho)
Buruklyn Boyz tunadrop mabomb
Bro, wana request ma session (Session)
Nimechoka joh kutajwa daily gram, wana ni mention
.58 .58, tano nane man, usi come hii section, usi come hii section
[Verse 1: Mr Right]
Huh .58 ain't safe (Safe), usicome hii section, yaani, tano nane ain't safe (Safe), usi come hii section
Niliachana na ma minutes fam', mi hu' deal na ma seconds
Hawa ma opp wana bad intention, funga mdomo usicatch infection
Niko stu' na ma bro wa mine, ma shining star tunaji see kwa Telly
Tomorrow kuna brighter days, just wait, we gon' fly on a Helly
Big boys tuna switch ma celly (Celly)
Upuzi hauskii ndo sipendi (Nah)
Unapenda hupendi?
Baby girl ame fumble na hasemi
So nimekuwa busy kwa block (Busy kwa block)
Ku call sana na unapigwa block
Huwezi tupata kwa hio stop
Niko studio na record, busy kwa block, busy kwa block, huh
Kwani ni kesho?
[Chorus: Mr Right, Ajay & Mr Right & Ajay]
Nimekuwa busy kwa block, adi nimesahau kuenda kwa studio
All day tukitafuta Juliet, ju, tuko na Romeo
Ni ma ups and downs, ni ma ups and downs
Manze ni movie yo
Na u-tune hio radio man, na uongeze volume kwa stereo
Nimekuwa busy kwa block (Block)
Adi nimesahau kuenda kwa Dencho (Dencho)
Buruklyn Boyz tunadrop mabomb
Bro, wana request ma session (Session)
Nimechoka jo kutajwa daily gram, wana ni mention
.58 .58, yo, tano nane man, skia, usi come hii section, usi come hii section
[Verse 2: Ajay]
Baby girl, I'ma get you the product (I'ma get you the product)
'Cause, I'm proud of you
And the way I adore you girl ah, I'ma dear you
I want cash see a million views (My prob')
"East Mpaka London" I'm makin' moves (Bad moves)
Bad B amebeba goods (Jo)
Bad B na anaskuma goods (Ma Prada)
Not LL Cool J yo, but I'm cool with it
Two chainz on my neck uh, silver ni mbili (Bling, ching)
She got legs on my neck, yo, give her sexual healing
Bad B's wako out here trippin', they can never have man simpin'
Anapenda designer Versace, Prada, Louis, Gucci (Holla them, holla them)
Nine to five, hujui
Na ball ka Bayern Munich (Na ball)
Ki German fast and fury
Na avoid ma-case na jury
Ka si trap I'm makin' music (Cash)
Yo
[Chorus: Mr Right]
Nimekuwa busy kwa block adi nimesahau kuenda kwa studio (Studio)
All day tukitafuta Juliet, ju, tuko na Romeo (Juliet ju)
Ni ma ups and downs, ni ma ups and downs
Manze ni movie yo
Na u-tune hio radio man, na uongeze volume kwa stereo
Nimekuwa busy kwa block (Block)
Adi nimesahau kuenda kwa Dencho (Dencho)
Buruklyn Boyz tunadrop mabomb
Bro, wana request ma session (Session)
Nimechoka jo kutajwa daily gram, wana ni mention
58, 58, tano nane man, usi come hii section, usi come hii section
[Outro: Mr Right & Ajay]
How?
Kwani ni kesho?
Skia, best rapper wao
.58 flavour
Tano nane
M.R R.I.G.H.T