BURUKLYN BOYZ
Goodbye
Si-si-Sinyorita usikuwe na presha
Ukiwa na mimi vitu vulai
But she all about the mulla
Anadai shopping twende Dubai
Huu peng hauskii ako thirsty
Na hizo game hauskii hazidai
Walai nimechoka goodbye goodbye goodbye

Sinyorita usikuwe na presha
Ukiwa na mimi vitu vulai
But she all about the mulla
Anadai shopping twende Dubai
Huu peng hauskii ako thirsty
Na hizo vako hauskii hazidai
Walai nimechoka goodbye goodbye goodbye

Kazi yako skia mabeste
Unapenda kuwaste time
Unapenda kunidungia ka mara chwani
Ni ka hujui niko studio time
Si nadhani uko na riang
Si nadhani uko na moko
Si unajua mi ni kadere
Nakudrive crazy si ka hawa mafala

Nina mbogi jo imecrack
Ma authentic hatupigi mambwakni
Unachuja madem hawanimakingi hard
Yoh nasound funny
Anadai mi ni baby mummy
Ananiona ka Kimani
Anadai mi ni baby mummy
Ananiona ka Kimani
Nikiwa na wewe mambo yako yaenda kombo
Japo nisonge hapo matatizo..

Oh my don’t talk about fit
Bad bih she a fashionova
She say she coming with her bestie
Coz B.Boy just pulled up with a rover

Nimemtoa kwa mambwakini
Ju manzi ni m-oriji kutoka kitambo
Na, akipull up kwa scene
Scene-scene-scene

Crop top jo na palazzo
Fine B hauskii ni mboujee
Shape ni Cocacolla
Sun hauskii anaburn
Huu peng ni mhot ka solar
Anyway mi napatch na ferry
Mi napatch na ferry
Mi napatch na ferry
Mi napatch-

Sinyorita uskuwe na presha
Ukiwa na mimi vitu vulai
But she all about the mulla
Anadai shopping twende Dubai
Huu peng hauskii ako thirsty
Na hizo game hauskii hazidai
Walai nimechoka goodbye goodbye goodbye
Sinyorita uskuwe na presha
Ukiwa na mimi vitu vulai
But she all about the mulla
Anadai shopping twende Dubai
Huu peng hauskii ako thirsty
Na hizo vako hauskii hazidai
Walai nimechoka goodbye goodbye goodbye

Goodbye goodbye goodbye
No man as I keep going hard
Whenever she hear me, she coming for wood
Change girl life ain’t see our code
Toto don’t worry about me I am good
Working hard when I am still on the hood

…Like the way I should
And I got vision I ain’t no crook
Better stay loud when you see it look
That girl in my mind too..
They are calling my mind too sick
I got so much on the lines
Spit bars…make things clear
One man I ain’t controlled by fear
Nah I can’t hang…
Moving like … so is the big man ting
When I look in the mirror