BURUKLYN BOYZ
ZOZA
[Intro]
K on The Track

[Chorus: Lilmaina]
Kwa hii life tunacheza amongest mafala, mambleina wamegeuka imposters
Nilitoka kwa slum za Mathare, saii naishi mayolo na sling nazichota
Mechi zangu zingine nmedishi maforeigner wapoa kumegeuka Europa
Nina ball wanadhani nakopa, nina ball wanadhani nakopa

[Verse 1: Lilmaina]
Nikitoka mi huchafua scenes, man i'm on their mouth like Listerine, uh
And if I cheat I'll come out clean, kujificha your toi, uh
Na ma exes kuwatesa, ni ju daily na apply-ingi joh pressure
Team kuzidi, there is no rest man, last show nilizoza huko WSTRN
Na siku hizi wanasema nakula ati Jere kidogo umekuwa na kitambi
Na Bimmer nimeshika nimechapisha debe, ukiingia unaskiza kinyambi
Niko trap Kilimani, wapoa wako different lakini ukweli ni mababi
Uh, samahani, mteja wa nambari hapatikani

[Verse 2: Ajay]
Niko na dem yako ana chali, anadai una games chali
Kwa bed mi ni Jeff Hardy, doba imewai when I get sturdy
Marapper wako class wanaget studies, [?] whip my G I got car keys
Rode my Jeep piga Nikes, all time si unajua hizo ndo fly kicks
Si unajua hii side nimezoza, si unajua hii side nimezoza
Si unajua hii side nimezoza, ukipull up the socks usisahau pia trouser
Si unajua hii side nimezoza, si unajua hii side nimezoza
Si unajua hii side nimezoza, ukipull up the socks usisahau pia trouser
[Chorus: Lilmaina]
Kwa hii life tunacheza amongest mafala, mambleina wamegeuka imposters
Nilitoka kwa slum za Mathare, saii naishi mayolo na sling nazichota
Mechi zangu zingine nmedishi maforeigner wapoa kumegeuka Europa
Nina ball wanadhani nakopa, nina ball wanadhani nakopa
Kwa hii life tunacheza amongest mafala, mambleina wamegeuka imposters
Nilitoka kwa slum za Mathare, saii naishi mayolo na sling nazichota
Mechi zangu zingine nmedishi maforeigner wapoa kumegeuka Europa
Nina ball wanadhani nakopa, nina ball wanadhani nakopa

[Verse 3: Mr. Right]
Bad B's A to Z, nawakunywa na straw kama Lucozade
Tuko bukla anatingisha bunda, anataka kunionesha kurotate
Slow whine, trap hotel naisqueeze, I'm on my lucky days
Hizi sides sisi ndio kusema, tukikam hizo side mnarelocate
Drip so cold on a sunny day, ayy sippin' on Lemonade
Ni uongo hio ni fairy tale, unacap a lot hio ni nini unasay?
Drip so hot on a rainy day, ayy sippin' on Lemonade
I'm in for the money days, mulla cash I wanna get paid

[Outro: Lilmaina]
Kwa hii life tunacheza amongest, mafala mambleina wamegeuka imposters