[Intro]
Ndovu ni kuu (OG)
Itabidi wanijue, ah ah (yeah yeah)
Basi weka mkono juu, ah ah ah
Juu
[Verse 1: Krispah]
Ey vile na bambam polisi wana ubaya
Dame wako vile mahanjam na mi sina ubaya
Kosea uniite handsome huskii hizo ni hekaya
Felicia na lisa, hivo ndo mi niliwa-acquire
Cheki, tulikuwa na Pamela shule moja ndani ya kwaya
Siku hizi vile anameza mara moja utagwaya
Ananiringia sana flat tummy hana taya
Ako na kila kitu kitu hanaga ni haya
Mtoto wangu akiitwa K.U ntakataa
Hakunaga masomo K.U nimekataa
Unapeleka mtoi first year introduction
Baada ya wiki mbili ashajua reproduction
[Chorus: Krispah]
Ndovu ni kuu (ah ah ah)
Itabidi wanijue (ah ah ah)
Basi weka mkono juu (ah ah ah)
Yes you, (ah ah ah), you
Ndovu ni kuu (ah ah ah)
Itabidi wanijue (ah ah ah)
Basi weka mkono juu (ah ah ah)
Yes you (ah ah ah)
[Verse 2: Khaligraph Jones]
Yeah, napull up na gari ya color green ka nafanyanga Safcom
Luku kasuku lakini Combato ni custom
Peng analia "Mi hupenda vile unarap Jones"
But ju sitaki Corona girl please put your mask on
Nekwendete Pamela 'umeza ka tеmbe
Anapenda Lollipop analamba ka perеmende
Lazima akuwe mkamba jina ya pili ni Mwende
Mi nasikia madem wakamba wanapenda make**
Kamecarry bum bum kanakaa kama Mariah
Nakashow tunaenda London but kumbe ni Othaya
Nitakosaje kupenda tamtam na jina ya kwanza Brian
Dem anakaa screen ya Samsung so vidole ziko required
Usichomee K.U hao mastude hupata PHD
Utapatana nao Kilimani kama si Westie
Social media ndio social studies
So nowadays ukitaka kuthigitha we mwambie mkafanye GHC (atí what!)
Wale wamesoma ndio sampuli ya Omollo G
Ata reproduction pia si ni topic kwa Biology
Bora kuna Chemistry Pamela can just follow me
Vile Ndovu Kuu hukuwa noma sana nyaka bwogo gi
Sina marafiki staki mbogi ini-screw (kwenda)
Mnataka n'blunde kiasi ndio mni-sue
Hii city ya usherati tabia mbovu ni true
Big up to Krispah, washajua ndovu ni kuu, OG
[Chorus]
Uh uh uh, aki walai ushatujua
Uh uh uh, basi weka mkono juu
Uh uh uh, yes you, uh uh uh you
Ndovu ni kuu, ah ah ah ah
Aki walai ushatujua,, ah ah ah
Basi weka mkono juu, ah ah ah
Yes you, ah ah ah, you
[Verse 3: Boutross]
Okay
Mbaibe ashaniambia anapenda form za kulengalenga
Anakaa mlami but mlami amesoteka
Nimezoea Njeri, Ndalu, na Violeta
Nimezoea msupa akinirollia kavela
Ati ana Gorilla wall siwezi penya
Unadai mate na uko form za ketepa
Kaa huwezi buy hiyo drink si basi kwenda
Mi nakupa kiss kwa clit nakill your status
[Bridge: Krispah]
Ah ah ah itabidi wanijue
Ah ah ah basi weka mkono juu
Ah ah yes you (ah ah) you
[Verse 4: Boutross & Krispah]
Okay! I say "oh"
Manzi yangu hukuwanga sumu, ayy
Either nimepagawa au ni juju
Mmmh, cocktail ya Maasai na Mkikuyu
Ako na gap kwa meno na bado she can chew you
Ooh ama ni lugha hainanga luku
Ki-ki-kiswahili ninayo hadi kizungu
Vile amenibambam shiro, amamebong shumar taya and am bad man she love
Oh ayy, food type zi hukuweka kwa mood
Ka vile champagne huserviwangwa n***
Ai champagne huonja ka juice
Mi hupiga ka Tusker ju—
[Chorus: Krispah]
Ndovu ni kuu (ah ah ah)
Itabidi wanijue (ah ah ah)
Basi weka mkono juu (ah ah ah)
Yes you, (ah ah ah), you