[Intro]
Black Market Records
[Chorus: Thee Exit Band]
My hands your waist, my heart away
Unanikuna kuna, nikuna kuna
My lips your lips, they touch we kiss
Unanikuna kuna, nikuna kuna
[Verse 1: Brandy Maina]
Nipe nikupee, come to the dance floor babe
Leo tuna fess ah fe-fess ah fe banger
Ama tutado it your way, yeah
Wacha nikusave usiniogope babe
Leo nafinesse nafinesse na ujanja, eh
Leo nitamaintain
Ukinikuna back, nitakukuna front
Hebu baby don’t let go
Ukinipea shash nitakupea ndom, eh
This the kind of love
Make you wan' me do it, do it, do it, do it
I'll make you, make you show it, show it, show it, show it
It's Braaandy
[Chorus: Thee Exit Band]
My hands your waist, my heart away
Unanikuna kuna, nikuna kuna
My lips your lips, they touch we kiss
Unanikuna kuna, nikuna kuna
[Verse 2: FatherMoh]
Siezi, lеwa sai
Siezi, siezi, siezi toka club sai
Siеzi, kosa kuteka mpoa sai
Siezi buyiwa pombe alafu mi nizirai (Siwezi)
Sakata sakata, rhumba rhumba
Sakata sakata kuna nyuma
Chuchumaa kuna we vunja mfupa
Tumia mikono ukishindwa miguna
Ati kilichopandwa ni ulichokikuza
Na kikikukuza ni juu ulikichuna
Na kisipozama ni juu hakijavunwa
Na kikizolea ni juu kimemwagwa
Wah
[Chorus: Thee Exit Band]
My hands your waist, my heart away
Unanikuna kuna, nikuna kuna
My lips your lips, they touch we kiss
Unanikuna kuna, nikuna kuna
[Verse 3: Savara]
Yeah, yeah, yeah
Unanichuna chuna unanikuna kuna
Unanikuna kuna unanibeba yeah
Nashindwa unanibebaje?
Mpaka ya November
Unanirunda runda unanisunda sunda
Unanitunda tunda mpaka baadaye
I don’t know why I've been lying, eh
But I got to sing and again I balance
I got to move with the ball and balance
I can't believe my eyes ndalola ndalola ndalola ndalola ndalola
Eh, ndalola ndalola
Hamkorova karova
Ndavora, ndavora, ndavora, ndavora, ndavora ndavo
[Chorus: Thee Exit Band]
My hands your waist, my heart away
Unanikuna kuna, nikuna kuna
My lips your lips, they touch we kiss
Unanikuna kuna, nikuna kuna
[Outro]
Black Market Records