FatherMoh
Miss Behaviour
[Intro: Boutross]
(Man base)
Yea, yea, yea, yea
Woo woo, woo
You are now listening to the sounds of the ghost
Yea, ayy, yea ayy
Okay, ayy, closer, no distance
You like me, your mister
Whine it calypso, me like it sadicto

[Chorus: Savara, FatherMoh & Boutross]
Pombe inanibamba bamba bamba bamba bamba bamba bamba
Jaba na kashata, misbehave na hizo haga za mjaka, ye' ni mrembo
Lakini yeye ni danda danda danda danda danda danda danda (yeah yeah)
Jaba na kashata, misbehave na hizo haga za mjaka (yeah yeah) ye' ni mrembo lakini ye' ni—

[Verse 1: Boutross]
I told my wife wacha ni-misbehave
Vile hiyo makali inani-instigate
We' unadai bank na mi si CBK
I broke your hеart, and I'll do it again
So I went on a date with this big mama
All this pressurе, I had to discover
Boy flani ako "Ayy najua huyu madam"
Is he being jealous, or am I being stubborn?
[Chorus: Savara & FatherMoh]
Pombe inanibamba bamba bamba bamba bamba bamba bamba
Jaba na kashata, misbehave na hizo haga za mjaka, ye' ni mrembo
Lakini yeye ni danda danda danda danda danda danda danda
Jaba na kashata, misbehave na hizo haga za mjaka, ye' ni mrembo lakini ye ni—

[Verse 2: FatherMoh]
Kausunda, kauzimia kwa club ni mjinga
Ashaiosha TV, radio na woofer
Jamani, walai mi namchuja
Mi namchuja ah
Nishaimpata kwa roadi nikamkuta
Nikampeleka kejani nikaisunda
Nikamtolea bakora kimchuda
Ni makelele kelele nitambugda

[Chorus: Savara &FatherMoh]
Pombe inanibamba bamba bamba bamba bamba bamba bamba
Jaba na kashata, misbehave na hizo haga za mjaka, ye' ni mrembo
Lakini yeye ni danda danda danda danda danda danda danda
Jaba na kashata, misbehave na hizo haga za mjaka, ye' ni mrembo lakini ye' ni—

[Verse 3: Savara]
Dem ni mrembo like mmmh
Don't do me like that, don't misbehave
Come closer I got the juice
Coz you be running, running, running
Niko gej, niko maji
Nikiwa maji nakuwanga mtiaji
Viatu zangu usikanyage ni safi
Niko madree natingisha manati
[Chorus: Savara, FatherMoh]

ABH Sound baby