Yammi
Namchukia
Uzuri si hadidhiwi nayaona
Haya aapa nayaona
Mabaya yako kwa macho yangu nayona

Sio kwamba napenda kuwa kin'gan'ganizi tatizo mazoea
Nime kuzoea sidhani kama ntapona
Napiga simu namba inatumika kila dakika
Kumbe ameni block ame ni blacklist amenichoka
Roho inajenga sumu hata nkifika mbingu nime choka
Mungu aliumba mapenzi lakini yana watu wake

Wallahy namchukia kumfahamu najutia
Wallahy namchukia kumfahamu najutia

Unayo fanya siunaona uko sawa basi kazana
Si unapenda hivi navyo lia na ku n'gan'gana
Haujuwi ustaarabu unacho juwa ni kufoka na kutukana
Nahivi nilivyo bubu mama kanifunza nidhamu ni kukaa kimya