Diamond Platnumz
Moyo Wangu
[Intro: Lamar]
Lamar
It's a Fish Crab presentation
Diamond
It's a Fish Crab Niekamp, ladies and gentleman
Wasafi
[Chorus: Diamond Platnumz]
Moyo wangu
Moyo wangu mama, eh
Moyo wangu mimi
Umeniponza mama
Moyo wangu
Moyo wangu mama, eh
Moyo wangu mimi
Umeniponza mama
[Verse 1: Diamond Platnumz]
Ah ah ah
Upole wangu simanzi
Eh
Kwangu kupenda maradhi
Iih
Lakini kupendwaga mi naye
Bahati nuwaga sina
Jichoni kwangu kibanzi
Eh
Ninakapenda kamanzi
Iih
Licha ya kumthamini kama shilingi
Tatizo hata raha sina
[Pre-Chorus 1: Diamond Platnumz]
Ufinyu wa mboni zangu (mboni zangu)
Unatazama mengi yanayonipa mateso
Ukweli hata kupenda sina raha
Ona nakonda kwa mawazo
Masikini penzi langu Gina
Lishakata na kauli roho inatoka kesho
Kutwa nzima mara, eh
Mara, iih
Hata najuta kupenda...
[Chorus: Diamond Platnumz]
Moyo wangu (moyo mama)
Moyo wangu mama, eh (moyo mama)
Moyo wangu mimi (ah ah ah)
Umeniponza mama (oh oh oh)
Moyo wangu (moyo mama)
Moyo wangu mama, eh (moyo mama)
Moyo wangu mimi
Umeniponza mama
[Interlude: Diamond Platnumz]
Mmmh, tena
Ni kutwa kucha maneno
Kosa sikosa maneno
Ili mradi ru karaha tantaila
Mmmh, sina raha
[Verse 2: Diamond Platnumz]
Wala sina tena mipango (ho)
Kutwa nzima na mawazo Gina
Ah ah
Ooh, sina raha
Oh mama
Tamu ya wali ni nazi
Eh
Raha ya supu mandazi
Iih
Raha yangu mi kupendwa tu naye
Lakini nyota sina
Laana napata na radhi
Eh
Nawakufukuru wazazi
Iih
Kwa kung'ang'ana mi kutaka kuwa naye
Lakini bahati sina
[Pre-Chorus 2: Diamond Platnumz]
Masikini roho yangu (roho yangu)
Ingelikuwa ni nguo ningempa avae
Kila kona akipita wamsifie
Ila lakini ni kikwazo
Masikini penzi langu Gina
Lishakata na kauli roho inatoka kesho
Kutwa nzima mara, eh
Mara, iih
Hata najuta kupenda...
[Chorus: Diamond Platnumz]
Moyo wangu (eh eh eh eh)
Moyo wangu mama, eh (eh eh eh eh eh)
Moyo wangu mimi (ah ah, oh oh)
Umeniponza mama (oh oh oh)
Moyo wangu (moyo mama)
Moyo wangu mama, eh (moyo wangu)
Moyo wangu mimi (eiih...)
Umeniponza mama
Moyo wangu
Moyo wangu mama, eh
Moyo wangu mimi
Umeniponza mama
Moyo wangu (moyo mama)
Moyo wangu mama, eh (moyo mama)
Moyo wangu mimi
Umeniponza mama