[Verse 1: Diamond Platnumz]
Ah! Usinione nalia
Moyoni naumia
Kila siku maugomvi, unanukia mabia
Ina maana unataka usema
Huu moyo wangu hatambui
Thamani ya mapenzi
Ndo imegeuka kuwa uadui
[Bridge: Diamond Platnumz]
Nikakuimbia nyimbo bado
Nkakupa moyo bado
Nikakupa life, na true love
Ila baby bado
Nikakuimbia nyimbo bado
Nkakupa moyo bado
Nikakupa life, na true love
Ila baby bado
[Chorus]
Ukose raha
Kisa, kupendwa nawe
Kwanini ukose raha?
Kisa, kupendwa nawe
Kwanini ukose raha?
Kisa, kupendwa nawe
Kwanini ukose raha?
Kisa, kupendwa nawe
[Verse 2: Diamond Platnumz]
Nishachoshwa na haya mapenzi
Visa mara mia kwa mwezi
Mara leo limekwisha hili
Kesho kutwa tena ghafla limezuka tena jingine
Choshwa na haya mapenzi
Visa mara mia kwa mwezi
Leo limekwisha hili, kesho lingine eh!
You just don't know
Naumia umia umia umia umia
Eeeh ah!
You don't know
Naumia umia umia umia umia
Hiiiii...
[Chorus]
Ukose raha
Kisa, kupendwa nawe
Kwanini ukose raha?
Kisa, kupendwa nawe
Kwanini ukose raha?
Kisa, kupendwa nawe
Kwanini ukose raha?
Kisa, kupendwa nawe